EL+RA=UFISADI
Member
- Jul 4, 2010
- 56
- 6
Hii ni story ya kutungwa.
Hakikutokea kitu kama hiki, hata walinzi waliokuwa zamu siku hiyo wanashangaa mtu anaweza kuandika uongo kama huu.
Hivi wewe unadhani walinzi haohao waliomruhusu fisadi huyu apaki gari lake mbele ya lango kuu la Ikulu wakati mawaziri wameambiwa waache magari nje ya ukuta wa Ikulu watakiri kosa? Kuna kigogo mmoja alikuwepo kwenye sherehe nimemuuliza baada ya kusoma hii taarifa amethibitisha kuwa ni kweli tukio hilo lilitokea. Wageni wote waalikwa walitembea kwa mguu kutoka geti la nyuma la Ikulu mpaka kwenye gardens mbele ya mlango wa kuingia Ikulu na walikumbana na hiyo red Ferrari kwenye lango kuu la Ikulu! Hebu ulizeni watu waliokuwepo kwenye hii shughuli watupe ukweli. Tena nimesikia Somaiya alichelewa kuwasili Ikulu maksudi na alifika baada ya baadhi ya wageni kuwa tayari wako kwenye viwanja vya bustani ili watu wamuone akishuka kwenye Ferrari yake ya thamani ya $500,000!