Fisadi kutimkia ulaya

Sidhani kama kuna anayewaza kukimbia. Kwa sababu ipi? wakati hakuna mwenye ubavu hata wa kuwataja jina ispokuwa kelele tu za kuzuga. Hivi twaweza tajiwa officially nani ni mafisadi na wamefisadi nini? yaaani ccm yaweza kutoa taarifa hiyo? kama inashindwa jambo hilo dogo itawawajibishaje? I think this is acting of the highest order. Bravo ccm kwa kujua kucheza karata za siasa, kweli ukongwe dawa. Just one trick out of many watu wamelainika. it real deserve to rule this contry for it knows better than any.
 
Kuna tetesi mmoja wa mafisadi tajwa ameanza kuhamishia investment zake nje ya Tanzania
 
Mi nashangaa sana hi serikali ya jaykei,anaeiba kuku anawez kupigwa miaka ya mvua jela lakin wanaochotota fedha za walipa kodi wanaombwe kujing'oa madarakan nchi hii tungekuwa makada wote nani angechukuliwa hatua?
 
CCM Wanatudanganya tu, wakiwa nje ya pazia wanazungumza mengi sana Lakini wakiwa nyuma ya pazia wanakunywa kahawa na mafisadi.Mbona mafisadi waliotajwa hajapewa barua za kuondoshwa uongozini? Kama sio danganya toto ni nini?Kwa maana nyingine nchi hii viongozi wake ni waongo,kiasi wakiwa juu majukwaa wanazungumza mengi sana,na akitoka hapo ukimuuliza amesema nini wala hakumbuki!Hizi ndizo siasa za nchi yetu Tz.
 
Hivi ile sheria yao ya uraia wa nchi mbili iliishia wapi?.... Hii mijitu inaona mbali sana...walikomalia ile sheria kwasababu wanajua kuwa ni waovu ili wapate pa kukimbilia ilihali bado wanabaki na uraia wa TZ.
si ndo mwenye uraia wa nchi mbili huyu?
 
Pengine ndiyo sababu kajivua gamba. Akibaki hapa mtataka mara mumshitaki, mara mumdai fedha zenu. Atakuwa ameona aondoke kabisa.
 
Aseee atamfwata yule mshirika wake walioshirikiana
kutuchakachua,yule wa symbion lool naona
wakt amefika hapa kusema kuwa dowans ni yake alimwambia broda
fanya uhamie kwenye nji yetu
hapa patachimbika lazima watzii wakufanye kiislamu
so anasepa ziaina loooo
 
Time will tell!huyu jamaa lazima akimbie nchi kwa sababu moto ndio kwaanza unawaka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom