Fisadi Kinje Mbona Haongelewi

Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.

Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.

"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
 
Even thou anabamia anapush vogue,je wenzangu wenye 6" si tunaungua na jua vumbi hadi kwenye meno,haaaaa ukiwa na kisu madada awaangalii unapiga mbupu vipi::::
 
Mtoto pekee wa mzee???????ina maana Mpiri amefariki ama au wewe nawe ni mtoto wa Ngombale?
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.

Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.

"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
 
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.

Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.

"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".
Na ww keshakusweka?
 
huyu jamaa na yule mshkaji wake mwenye ile Mafian pub kule Maskai naskia sio rizki ni kweli?
 
Mtoto pekee wa mzee???????ina maana Mpiri amefariki ama au wewe nawe ni mtoto wa Ngombale?

Samahani, sikujua kama Kingunge ana mtoto wa kumzaa mwenyewe zaidi ya Kinje, huyo uliemtaja si waku adopt au wa mkewe? Nijuavyo Kinje ni pekee kwa mama wa kihindi.

Nirekebishe kama naelewa ndivyo sivyo.
 
ff na wewe habari hizi sio level zako kabisa...
unajishusha hapa...rudi kule kwenye habari zenyewe...
 
5.jpg

Hivi huyu jamaa bado anaendelea kukusanya pesa pale 7/7 na kule kwenye kituo cha mabasi ubungo au?

akisha kusanya ndio anawahonga hao watoto wadogo? Huyu kwenye picha ni under 18
 
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.

Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.

"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".

ntamtumia nyegere
 
huyu jamaa na yule mshkaji wake mwenye ile Mafian pub kule Maskai naskia sio rizki ni kweli?

omary kimbau????? Acheni ujinga nyie, yule kamchakaza daddangu, litoto copy right. Alikataa mimba, tumelea wenyewe leo anajidai anakuja kutulamba miguu
 
Nyie bado mko na stendi, machale kweli. Kinje ana miradi kama upupu, ndani na nje ya Tanzania. Michuzi imetulia na ndio katoto pekee ka Mzee.

Mwache ale kwa raha zake, Mzee Kingunge alizipatia taabu hizo neema, hazijaja kwa kufukiziwa ubani na uvumba.

"Kama unaweza, panda juu nenda ukazibe".

kcuf him
 
Kumbe unamjua mama wa kihindi tu na Maria mama yake ni nani???
Samahani, sikujua kama Kingunge ana mtoto wa kumzaa mwenyewe zaidi ya Kinje, huyo uliemtaja si waku adopt au wa mkewe? Nijuavyo Kinje ni pekee kwa mama wa kihindi.

Nirekebishe kama naelewa ndivyo sivyo.
 
omary kimbau????? Acheni ujinga nyie, yule kamchakaza daddangu, litoto copy right. Alikataa mimba, tumelea wenyewe leo anajidai anakuja kutulamba miguu

Omy kimbau jamani mbona kawachakaza madem wengi
 
Back
Top Bottom