First Year UDSM wapewa chao leo.

EJay

JF-Expert Member
May 21, 2012
693
172
Ikiwa ni siku chache tu tangu waanze usajili, wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM leo wamepewa boom,huku wengi wakifurahia utaratibu mzuri wa UDSM kwa kupewa boom haraka.

Tunawaasa matumizi mazuri ya fedha hizo!
 
100% mimi ni shuhuda Mkuu.boom ilianza kutolewa saa 4 asubuhi hadi 9.30 alasiri.na mishemishe ikaanza mara moja.chezea boom wewe....

Kwani boom hivi wanapewa mkononi au me ndio sijui mambo.
 
Mlimani city sub-hoofer ya nguvu, nyingine Fiesta...Period!
 
Ikiwa ni siku chache tu tangu waanze usajili, wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM leo wamepewa boom,huku wengi wakifurahia utaratibu mzuri wa UDSM kwa kupewa boom haraka.

Tunawaasa matumizi mazuri ya fedha hizo!

Mkuu hebu fanya ustarabu utupe mchanganuo wa hizo pesa walizopewa ili nasi tujipange.Tujue ni kiasi gani kwa meal allowance,accomodation,stationary n.k.
 
Mkuu hebu fanya ustarabu utupe mchanganuo wa hizo pesa walizopewa ili nasi tujipange.Tujue ni kiasi gani kwa meal allowance,accomodation,stationary n.k.

two months meals and accomodation Tsh.463,000/=
books and stationery 200,000.
Total unapewa 663,000/=cash mkononi.
 
two months meals and accomodation Tsh.463,000/=
books and stationery 200,000.
Total unapewa 663,000/=cash mkononi.

Mkuu nashukuru sana, ila kwa mtu makini hiyo hela inabidi kujibana kwani si nyingi kama wengi wanavyofikiria.
 
Mlimani city sub-hoofer ya nguvu, nyingine Fiesta...Period!

Unazijua bei za mlimani city wewe?Hela ya bodi haitoshi kununua mziki pale mlimani city labda mtu aamue kulala na njaa na bado itabidi aongezee nyingine.
 
Madogo mnanikumbusha mbali sana, as naripot campus mzumben baada ya kupata boom tu nakapandisha kwa baunsa bar maarufu mzumben nikala bia na wanangu mpaka asubuh, na kesho tukaendeleza ratiba hadi boom likakata ndo nikaanza kusoma sasa kwa hela za mzee,,, hela ya boom ina kama mapepo maana ni bia tu mpaka mwenye bar anatufukuza ili afunge baa yake saa 10 za usiku
 
Haya Nunueni iPhone,Samsung Gallaxy,macbook,gold chains!! Pia Nendeni Kona bar mkale maisha!! Tumia Pesa ikuzoee Laki Si Pesa millioni inasaidia

:Mwanafunzi(Maginge Makuru) aliyechaguliwa mwaka wa kwanza ajinyonga wilayani bunda:Someni hyo habari
 
Duh, at least hawa bodi wamenipa matumaini mtoto wa mkulima, nilkuwa nawaza nitaishi vp pale UDOM iwapo wakichelewesha boom.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom