first year udom

Eselo

Member
Jul 30, 2012
41
9
jaman wana jf kwa wale wa udom naomben mnijuze first year tunafungua lini,,,ili tuweze kujiandaa
 
vp mshiko tusije kufika na kungaa macho,about admission letter inakuwaje wakuu
 
Cha mcng unatakiwa kuwa na pocket money yako ya kukutosha kwa mda km wa mwez 1 hv, coz swala la mshko kwa cc wazoefu huwa unachelewa sana.NB cmlsoma guide bk ya tcu and loans board.
 
Back
Top Bottom