First love. I miss you baby

i wish he could me myn again.....ndo mtu pekee ad leo ambaye akinigegeda lazma niwe hoi....ila tulipotezana na tumekuja kuonn few daz kabla ya harus yangu....thanx god mara chache tunaliwazana.....
 
i wish he could me myn again.....ndo mtu pekee ad leo ambaye akinigegeda lazma niwe hoi....ila tulipotezana na tumekuja kuonn few daz kabla ya harus yangu....thanx god mara chache tunaliwazana.....
Bila aibu unasema Thanx God mnaliwazana,ivi unajua unatakiwa kujisikitikia na si kushukuru kwa huo utumwa?unatumika rafiki,wasiliana na mumeo vizuri nae atakugegeda mpaka uwe hoi...usikubali kua mtumwa
 
Funguka...............anayerudi mara nyingi kajifunza.

Not always anakua kajifunza sa nyingine unakuta huko alokoenda kumemshinda na anaona kaumri kanaenda ivo kwakua unampenda utampa tu hifadhi akipata tena zaidi yako atasepa,yakimshnda atarud bora tu uwe makini,mapenzi ukiyaendekeza sana sometimes yanaumiza,bora ufanye maamuzi magumu mapema kabisa
 
Mi yangu bado haijakamilika ikikamilika ntaileta kwenu maana itasaidia wengi
 
Mimi nilishwahi kupenda, nikaoneshwa kwamba napendwa, baada ya muda nikatendwa..
Nikajitahidi kusahau lakini moyoni mwangu bado nahisi kupenda, sasa nimerudiwa tena eti bado ninapendwa, ingawa bado napenda lakini moyo wangu unasita na siamini kama napendwa kweli au kuna jambo nyuma ya pazia. Kwa kifupi niko njia panda, i hate this feeling!

Do Something...... TANMO
 
Last edited by a moderator:
Do Something...... TANMO

This is what i did:
run-to-the-sun.jpg
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.7 KB · Views: 141

Similar Discussions

Back
Top Bottom