First Lady yuko wapi???

Muda huu ambapo serikali 'yao' inalalamikiwa, huyu mama hasikiki kabisa kama kile kipindi cha kampeni. Sijui nini kimemsibu!

She did a good job during the last year's CCM campaigns, just like Michelle Obama helped Obama in 2008.
It's not her job to execute day to day government affairs. You may wish to direct your complaints to the cabinet ministers. Thanks
 
Muda huu ambapo serikali 'yao' inalalamikiwa, huyu mama hasikiki kabisa kama kile kipindi cha kampeni. Sijui nini kimemsibu!

aisee nilivyoona kichwa cha habari nkadhani mie,kumbe ni huyo mrithi jina asiyejua maana na umuhimu wake.ananiharibia hadhi ya jina langu,staki kumuongelea
 
PJ sijakubaliana na wewe!
Kuwepo kwake kuna impact katika bajeti zetu kama nchi, wait and see
Wooow!
Kwahiyo una maana ile ndege ya TGFL aliyokuwa anatembelea wakati a kampeni zilitumika hela za bajeti yetu, na si za ccm?
Mbona walionyesha risiti hadharani?, au unataka kusema zilikuwa feki!...acheni kumsakama mama yetu bana!:coffee:
 
Back
Top Bottom