Anapenda urembo uzeeeeni
Ni hivyo. Hivi mwanamke kutembea na mzigo wa katani kichwani ni urembo? Halafu huo mkorogo, mmhhhh! Unachefua. I believe African women have now crossed the line to the absurd.Mbona kama artificial fulani?
Pengine mawazo yangu mgando, lakini sioni kama umri mkubwa ni sababu ya kutojitunza. Mama full-mkorogo, inawezekana, nywele wigi, sina wasiwasi, viatu mchuchumio, haitaki ubishi, anapenda ujana, anajishaua, kakutana na Paris Hilton, kosa liko wapi? Jamani, tunachaguliana hata marafiki na nani wa kukutana nao?
ha ha ha! da kiboga huyu huyu?
lane:Uzee mwisho wake ni Chalinze mjini hakuna uzee. Miaka yake ni 90 na ushee kama ya Mugabe
paul biya anatawala zaidi ya miaka 25 ktk cameroun,natayari tokea juzi jumatano maandamano ya kwanza ya waafrika weusi yameanza huko cameroun kumtaka aachie madaraka,nguvu yauma inapata kasi kama ya umeme sasa,mpk madikteta wote wafyekwe.Huyu kakaa mdarakani muda gani..?Amezidi 15yrs...???Tuanzishe revolution..africa mpaka iwe na raisi wenye chini ya miaka 50 kama 30hivi ndio itaendelea.
La hasha mawazo yako sio mgando, kukutana na Paris Hilton wala sio shida kwa tunaomjua ni kuwa Paris Hilton babu yake ndio mwanzilishi wa Hilton Hotels kwa hiyo kakulia katika utajiri na kuhusu hayo mengine ya Night in Paris ilivuja hiyo video na BF wake.Pengine mawazo yangu mgando, lakini sioni kama umri mkubwa ni sababu ya kutojitunza. Mama full-mkorogo, inawezekana, nywele wigi, sina wasiwasi, viatu mchuchumio, haitaki ubishi, anapenda ujana, anajishaua, kakutana na Paris Hilton, kosa liko wapi? Jamani, tunachaguliana hata marafiki na nani wa kukutana nao?