First Lady Salma Kikwete

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
...Wanajamvi, hivi first lady wa nji hii yupo wapi?, protokali zinataka Rais aapambatane nae katika ziara anazofanya, lakini ni muda mrefu sasa JK yupo peke yake katika ziara mbalimbali alizofanya recently. Mwanajamvi Anayejua alipo M/kiti wa WAMA atujuze hapa
 
Inaonekana maneno makali aliyoambiwa wakati wa kampeni yamemlazimisha kubadilika! Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!!
 
Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!!

ni kweli inauma sana, ni sawa na wewe uambiwe mkeo anachukuliwa na jamaa fulani au jirani yako, lazima ujiulize maswali mengi kama si kutamani kuua mtu.
 
...Wanajamvi, hivi first lady wa nji hii yupo wapi?, protokali zinataka Rais aapambatane nae katika ziara anazofanya, lakini ni muda mrefu sasa JK yupo peke yake katika ziara mbalimbali alizofanya recently. Mwanajamvi Anayejua alipo M/kiti wa WAMA atujuze hapa

Protokali gani hiyo nawe tunaomba utujuze.
 
ni kweli inauma sana, ni sawa na wewe uambiwe mkeo anachukuliwa na jamaa fulani au jirani yako, lazima ujiulize maswali mengi kama si kutamani kuua mtu.
Ni kweli kabisa ndugu yangu huu mfumo wa wake wengi unatakiwa ufe kuwapa haki akina mama,mi siuupendi na unadhalilisha akina mama,yaani we angalia usiku kucha mama analala peke yake na anajua kabisa jamaa kaaenda kwa bi mdogo kuchakachua inauma sana,hivi ingekuwa kwetu wanaume ingekuwaje mama aolewe na jamaa wawili leo anakuaga ni zamu ya mwenzako,ungejisikiaje,?jibu utakalo pata ndivyo inavyokuwa kwa wanawake,
 
siku tatu zilizopita nilimuona JNIA akiwasili toka marekani. nami nahisi kuna bifu la chini chini. cha muhimu mkwere kasha pata second term hana umuhimu wa kuandamana nae tena.
 
Labda nae kaolewa kwingine,kwani haruhusiwi?

Kama ni legal kwa mumewe kuwa na wake wengi kwanini nae asiruhusiwe otherwise
 
nimesikia toka katika familia ya ASAS [iringa ambako mkwere ameopoa toto (24yrs)] kuwa atakuwa huku kupumzika kipindi cha pasaka...na atakikaa ruaha Nesheno pak
 
Huyo mwalimu nasikia kamununua mkwere kwani alifanya kampeni zen akapindekeza watu zake "mashemeji" kuwa mawaziri. Lakin wakawatosa mfano mbunge wa nzega, kikwangara ambane ni doctor wa salma, alitaka awe afya
 
nasikia kajifungua, hizi yeti nimezipata jana hata mimi mwenyewe sikuuamini. leo naona wanajamvi mnadodosa labda kuna ukweli
 
Pili inasemekana kuna bifu la kuletewa bi mdogo!!!!
Siku anachukua fomu za kugombea urais pale dodoma, alitangaza hadharani kuwa hataoa tena, yeye na Salma, Salma na yeye. Safari za nje ameambatana nae, hajajifungua na hana ujauzito, anakula BATA tu
 
sasa kama haonekani inatuhusu nini sisi watanzania?

Katika uongozi wa nchi ya tanzania kwa mujibu wa katiba mke wa rais hana nafasi yeyote. Kujitokeza kwake kwa kiongozi wa umma ni kujipendekeza tu.

Kwanza Salma watoto wake bado ni wadogo hivyo wanahitaji kuwa na mama yao kwa muda mrefu. Akae na watoto.
 
mara mtoto wa zakia,tena dada wa rostam sasa tena iringa naona tumempata mfalme mswati wa tanzania
 
Back
Top Bottom