First Lady Protection.......

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Jamani ukiwa kwenye harakati, jaribu kumuweka misus sehemu salama na kama ni mama; basi muweke bamsap sehemu tulivu maana baana ya kasheshe ndiye wa kukutuliza. Hawa polisi walivyomfakamia Josephine wa Slaa utadhani walipewa maelekezo mahsusi! Tena mama tumboni kuna nanilio na polisi hata hilo hawakujali. Jamani walindeni first ladies wenu........harakati zinaendelea........
 
Back
Top Bottom