First lady anapomjenga mumewe US wakati kwetu mmmmh!

Michelle-Obama.jpg
2242304068_c8006e120d_s.jpg

Mikutano ya vyama kinzani nchini Marekani inaendelea huku tukiona wake wa wagombea wakiwajenga waume zao. Je kwetu hali ikoje? Wenzetu wanashirikiana kushinda wakati kwetu wanashiriki baada ya ushindi kuanzisha NGO. Je nini mawazo yako kuhusu hili?

Mbona hata Mama Salma alishiriki vizuri kumjenga mmewe sema aliingia kichwa kichwa kwa kupalamia Rasilimali za Serikali kupigia kampeni, kitu ambacho kweli wamama wengi wa level kama yake inawawia vigumu kutofautisha kati ya chama na Serikali, mimi nilimsamehe bure
 
Kwetu wanajilundikia mali, shame on them.

Kazi yao kubwa sio kulundika mali bali kutuibia mali zetu wananchi kupitia hivyo viNGO uchwara wake zao wanavyoanzisha ambavyo hufa baada ya waume zao kutoka magogoni!!
 
mnaosema jk mdini hv mnajua christian ndo dini pekee inayochukua ruzuku toka serikani tena cyo chini ya billion 1 lakini bado tu mnataka mpewe nini nyinyi ndugu zetu na hzo 1bn mmeona hazitoshi mmeamua kuanzisha chama chenu hili mchukue nchi kabisa mjiongezee ruzuku kanisani nnakubali jk anamapungufu yake na hakuna binadamu aliyekamilika hata huyo baba wa taifa na mkapa pia alikua na mapungufu yake na ufisadi mwingi ulifanyika kipindi chake mashirika ya umma aliuza mpo kmya hla mambo hayo angefanya jk tusingelala hla cha ajabu badala ya kulaumiwa aliyesababisha ufisadi analaumiwa jk eti kwanini hawakamati,lakini ya jk mnavyoyatolea mimacho hata akisafiri akienda kwenye msiba

Udini utawamaliza Watanganyika! Kazi mnayo khaaaa!
 
Udini utawamaliza Watanganyika! Kazi mnayo khaaaa!


Badala ya kuwaza maendeleo NA mustakabali wa NCHI yetu tunawaza visivyo vya maendeleo, kweli Tanzania will remain the leading idiot in EA!!!!! Ukasirike huu NDIYO ukweli
 
zomba, na kujirushia utumbo wa ng'ombe waonekane wameuwawa kinyama na polisi?

Umeona eeh! maisha ya kikushinda kawavae FFU wanaposambaratisha watu, wanakugeuza nje ndani ndani je, si bora ng'ombe utumbo wake unaliwa.
 
Umeona eeh! maisha ya kikushinda kawavae FFU wanaposambaratisha watu, wanakugeuza nje ndani ndani je, si bora ng'ombe utumbo wake unaliwa.

Idiot, mwenye akili timamu hawezi furahia NA kukebehi Kifo cha Binadamu Mwenzie hata siku moja, only a fool will
 
Michelle Obama, like her husband is a lawyer by profession!! Tena amesoma vyuo vinavyoheshimika huko marekani!!
 
Kuna siku nilimsikiza Mama Salma anasoma hotuba...
Kwa kweli sikumuelewa maana sauti yake ilikua inatoka kama vile CD yenye scratch...
Sijui kilikuwa ni kitete au kutojua kusoma hotuba...
 
ama kweli nyani haoni... wewe unaesema jk mdini hao chadema ndo mara 100 ya jk hata historia ya viongozi wenu inajulikana kua ni wadini na

Mimi Nimeona na Nimeelezea kwa nini na Bado Rais hajakemea; Sasa hivi tuna WAISLAMU wenye SIASA kali NCHINI; Na nimetoa

MIFANO; Wewe Unahiyo Habari; Tueleze sio kupinga na kusema CHADEMA ni mara 100; huu ni Uwanja HURU toa Maoni yako na

MIFANO YAKO sio Mstari Mmoja...
 
nimeangalia tv ya msnbc,jamani mama obama yuko fit kwa speech and very confident,hata vaa yake very simple,sasa wa kwetu huku mhhhhh ni matatizo,USIKOSE KUMUANGALIA OBAMA KESHO KUPITIA TV YA MSNBC ATAKAPOKUWA ANAOMBA KUPITISHWA NA CHAMA CHAKE-DNC

Ni mwalimu (lecturer) Havard Mkuu, so unaweza kuwaza ni mtu wa namna gani. Na amesoma pale pia kama sikosei!!! Huku kwetu mhhhhh hata mke wa memkwa namna tabu mradii sura ya mume wake iko fiti kwa urais, sijasema brain nimesema sura.
 
Pamoja na elimu yake nzuri ya Harvard University, Mama Obama ana upeo wa hali ya juu sana. Hata mafanikio ya Obama yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na huyu mama.

Upande mwingine, Mama Kikwete pamoja na elimu yake ya ualimu ya miaka miwili (sijui ni certificate au diploma) upeo wake sio mkubwa sana kuulinganisha na mama Obama. Pia kwa siasa zetu, uhalisia haupewi nafasi sana na watawala wetu wanaamini sana imani za kishirikana.
 
Wakuu mama salma pia kama mnakumbuka mwaka 2010 alipita sana kumuombea Mume wake kura na alijitahidi kwa nguvu kumnadi Jk! Sema tu dosari iliingia pale alipo ambiwa kuwa anatumia raslimali za serikali kumnadi mumewe, alitumia ndege ya serikali baadae Kinana akaonyesha tiketi fake baada ya kubanwa sana kuwa ametumia nafasi yake ya u-first lady kukwea pipa!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.

Du mzee unakumbukumbu, mi nilishaisahau hii.
 
Back
Top Bottom