Mikutano ya vyama kinzani nchini Marekani inaendelea huku tukiona wake wa wagombea wakiwajenga waume zao. Je kwetu hali ikoje? Wenzetu wanashirikiana kushinda wakati kwetu wanashiriki baada ya ushindi kuanzisha NGO. Je nini mawazo yako kuhusu hili?
Kwetu wako tayari kupaka tomato sosi waonekane wamepigwa mpaka wanavuja damu.
Kwetu wanajilundikia mali, shame on them.
Kwetu wanajilundikia mali, shame on them.
i missed u here mamaaaa..!
afu zamani nilijua wewe ndo mama salma ati...
Mama KIKWETE yeye yuko Anagombea NEC LINDI... Anamsaport Mmewe kwa KUPANDA NDEGE kusafiri naye...
Alimsaidia 2010 kugombea URAIS; Sasa yeye Rais katuletea UDINI; na UTENGANO ana nguvu na PESA... Sasa Akimaliza URAIS
ataishi NCHI GANI?
Sidhani ni NCHI ZA MAGHARIBI; Kwasabu ICC watamtafuta kama Hajijui... Katuachia DHABI; Tunachukiana na kutokuaminiana sasa
hivi Tanzania
Lazima yeye na CHAMA CHAKE WATALIPA... AKITOKA MADARAKANI
mnaosema jk mdini hv mnajua christian ndo dini pekee inayochukua ruzuku toka serikani tena cyo chini ya billion 1 lakini bado tu mnataka mpewe nini nyinyi ndugu zetu na hzo 1bn mmeona hazitoshi mmeamua kuanzisha chama chenu hili mchukue nchi kabisa mjiongezee ruzuku kanisani nnakubali jk anamapungufu yake na hakuna binadamu aliyekamilika hata huyo baba wa taifa na mkapa pia alikua na mapungufu yake na ufisadi mwingi ulifanyika kipindi chake mashirika ya umma aliuza mpo kmya hla mambo hayo angefanya jk tusingelala hla cha ajabu badala ya kulaumiwa aliyesababisha ufisadi analaumiwa jk eti kwanini hawakamati,lakini ya jk mnavyoyatolea mimacho hata akisafiri akienda kwenye msiba