First kiss.....

niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss nilikuwa darasa la kwanza,na mwezangu alikuwa vidudu,it was wet...nice duh!!huyo msichana hadi leo tukikutana ananiambia your the first person i have kiss in my life.jee wee unakumbukaa lipi??

La utotoni mchezo wa kibaba & mama lina count ...?

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Inategemea na aliyekupa hiyi 1st kiss ulikuwa ukimfeel je na sasa unamfeel vp hata ukumbuke hiyo kiss yake,

Mie naikumbuka 3rd kiss tu ambayo kwa huyu salvado wangu ndio 1st kiss nisiyoweza kuisahau na kila nikikumbuka ile moment lzm nifumbe macho kuisililizia lol!
 
Vidudu na la kwanza! Nazidi kutamani kuwafungia wanangu ndani niwafundishe mwenyewe jamani! Wakijua kukiss saiz mpaka kufika umri wa kujua mema na mabaya si itakuwa majuto!
 
tena nyie wa meru mlikuwa mnasifika sana....mkikutana pale kwa bibii wa barafu au kwa mama mustii wa ubuyu....

mhandisi inaonekana hizi kisi ndo zimepelekea wanafunzi wa meru wakawa wanaanguka sana kwa ugonjwa usiojulikana!
 
1st kiss c ya kusahau yaani ukizingatia ulivyokuwa ukiisubiria wkt unaanzisha mahusiano na kuwazia "when do I get it when do I get it,,,," na ulivyopewa daaah soooo romantic iwe bed au kwenye gari,,,,,!
 
mhandisi inaonekana hizi kisi ndo zimepelekea wanafunzi wa meru wakawa wanaanguka sana kwa ugonjwa usiojulikana!

ndio haswa....vikishaingia kule makaburini au vikishuka kule mtoni vinafanya vitu vya ajabu sana hivyo vitoto...
 
ndio haswa....vikishaingia kule makaburini au vikishuka kule mtoni vinafanya vitu vya ajabu sana hivyo vitoto...
mto wa line police hakikaaa ilikuwa burudaniii sanaaa
 
1st kiss c ya kusahau yaani ukizingatia ulivyokuwa ukiisubiria wkt unaanzisha mahusiano na kuwazia "when do i get it when do i get it,,,," na ulivyopewa daaah soooo romantic iwe bed au kwenye gari,,,,,!
we yakwako ulipata wapii kwenye gari mamaa mapozi
 
mhandisi inaonekana hizi kisi ndo zimepelekea wanafunzi wa meru wakawa wanaanguka sana kwa ugonjwa usiojulikana!
WISELADY HAPANA BANAA...siunajua pale kulikuwaa na makaburiii labda ndo sababu,mbayaa kulikuwa kuna kichaa anaitwa hamis nyaloo..analala kulee makaburini mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
WISELADY HAPANA BANAA...siunajua pale kulikuwaa na makaburiii labda ndo sababu,mbayaa kulikuwa kuna kichaa anaitwa hamis nyaloo..analala kulee makaburini mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh

eeh bana eeh.......
 
Vidudu na la kwanza! Nazidi kutamani kuwafungia wanangu ndani niwafundishe mwenyewe jamani! Wakijua kukiss saiz mpaka kufika umri wa kujua mema na mabaya si itakuwa majuto!
shauri yako kama ni cha kiume na kikee itakulaa kwako,nowdays hata wasichana wakazi,ma antiii sana sanaa wanatabia ya kukiss vitoto vidogo.tahazari chukua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom