First kiss.....

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss nilikuwa darasa la kwanza,na mwezangu alikuwa vidudu,it was wet...nice duh!!huyo msichana hadi leo tukikutana ananiambia your the first person i have kiss in my life.jee wee unakumbukaa lipi??
 
Kizazi cha Nyoka hiki!:shock:

Mkuu, ulizaliwa mwaka gani aisee?
First Kiss darasa la kwanza na vidudu?
Nilikuwa na miaka 9 nilipoingia darasa la kwanza lakini hadi nafikia darasa la 6 sikujua hiyo makitu, na kunanihii ndo usiseme kabisa!
 
mkuu nilikuwaaa na miaka 12.hahaha amini first kiss kama rafiki.sio huko kwengine meku
Kizazi cha Nyoka hiki!:shock:

Mkuu, ulizaliwa mwaka gani aisee?
First Kiss darasa la kwanza na vidudu?
Nilikuwa na miaka 9 nilipoingia darasa la kwanza lakini hadi nafikia darasa la 6 sikujua hiyo makitu, na kunanihii ndo usiseme kabisa!
 
Wazazi tuna shida
Hata vichekechea sasa hivi ni kuwa makini navyo
Miaka 3 na nusu vinatest alkaline level
Kizazi cha Nyoka hiki!:shock:

Mkuu, ulizaliwa mwaka gani aisee?
First Kiss darasa la kwanza na vidudu?
Nilikuwa na miaka 9 nilipoingia darasa la kwanza lakini hadi nafikia darasa la 6 sikujua hiyo makitu, na kunanihii ndo usiseme kabisa!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom