Fire Drill yazua kizaazaa PPF House

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Wadau mliopo Town... Tunaomba mtujuze kuna duru zimetujuza kuwa PPF House inaungua Jengo hilo lipo katika makutano ya Samora na Morogoro Rd.
Doh mbona moto kila mahali sasa...
 
Nipo Sinza mbele yangu kuna ka-TUSKER Bariiiidi...
Ha ha haaaa Sipo CBD ila kuna jamaa kanambia kuwa Masela wanajitahidi kuomba ruhusa ya kuingia huko kuokoa mali na roho lkn Manjata wanawazuia bwana...
 
Nimeongea na mdogo wangu anayefanya kazi pale PPF ni simulation ya fire oubreak in case ikitokea so jengo halijaungua ila ni mazoezi tu wakuu.
 
Nimeongea na mdogo wangu anayefanya kazi pale PPF ni simulation ya fire oubreak in case ikitokea so jengo halijaungua ila ni mazoezi tu wakuu.

Afadhali... Pia kwa Dar (Tanzania) mioto mingi haswa ya kusababishwa na hujuma hutokea jioni/usiku...
 
Haya mazoezi mbona hatuyaoni katika nchi za hawa wenzetu huku?
Kama ni jambo jema mbaya nini tukilifanya?? Au ndo kila kitu lazima tudese?? Wabongo Bwana, tukidesa uvivu wa kufikiri; tukibuni vyetu oooh hata ulaya haipo!!! kazi kwelikweli
 
Nilikuwa maeneo ya katikati ya jiji niliona magari ya kuzima moto na Ambulance za Ultimate Security yakielekea huko, pia gari la fire la jiji limeonekana likielekea huko. Inaelekea waliwahi mapema, labda kwa kuwa ni karibu na City fire station na pia karibu na base za Ultimate Security.
 
Kwa mazoezi nawapa hongera ila ukitokea moto wa kweli hawaonekani na wakija inakua ushahidi tu baada ya jengo kuteketea.
 
Haya mazoezi mbona hatuyaoni katika nchi za hawa wenzetu huku?

mkuu,huku ninakobeba mabox hio kitu ni kila mwezi na ni lazima.lazima watest fire alarms,doors,fire extinguishers na evacuation procedures,kama hufanyi siku moto ukitokea na ikagundulika labda fire alarm haziku-go off watu wakifa ni manslaughter kesi hio
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom