Zito hapa kuhusu Dawans anaiaibisha hata CHADEMA yake.Mitambo ya utapeli anashabikia,eti ni hasara kununua mipya kama ni lazima,ukinunua ya Dawans Rostam atatoa Guarantee?Kwa hiyo mitambo mtumba kwa Zitto sawa shame on you Zitoo naona ushabiki unamzuzua kijana huyu anaanza kulewa masifa.Ngoja uiangamize CHADEMA yako kwa kushabikia ujinga,sijui kaonjeshwa halua?