Elections 2010 Finias Magesa yu wapi?

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana, amekuwa kimya sana na sijasikia kama anampango wa kurudi tena Busanda kukomboa jimbo la Busanda?

View attachment 10753

kwa wenye data tafadhali tujulisheni?
 
Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana, amekuwa kimya sana na sijasikia kama anampango wa kurudi tena Busanda kukomboa jimbo la Busanda?

View attachment 10753

kwa wenye data tafadhali tujulisheni?

Finias Bryson Magessa yupo Dar, ni mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa kwa sasa.
Niliongea nae hapa juzi, alisema kwamba anarudi tena Busanda kugombea ubunge kwa awamu nyingine, mara kipenga cha kampeni kitakapotangazwa rasmi na tume.
Kwa alisema anaandaa mazingira ya ushindi ili arudi akiwa amezijua mbinu za sisiemu.
Kama unahitaji mawasiliano yake nitumie ujumbe kwenye PM.
 
Finias Bryson Magessa yupo Dar, ni mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa kwa sasa.
Niliongea nae hapa juzi, alisema kwamba anarudi tena Busanda kugombea ubunge kwa awamu nyingine, mara kipenga cha kampeni kitakapotangazwa rasmi na tume.
Kwa alisema anaandaa mazingira ya ushindi ili arudi akiwa amezijua mbinu za sisiemu.
Kama unahitaji mawasiliano yake nitumie ujumbe kwenye PM.
Thafi thana, Hapana mkuu sihitaji mawasiliano yake, niliitaka kujua kama anampango wa kurudi kutetea jimbo lake la Busanda, nikihitaji namba yake nitamsubiri hapa njia panda ya kuelekea Goba nimsimamishe anipe yeyey mwenyewe.
 
Magesa yupo na anasubiriwa kwa hamu sana huko Busanda,na kama sheria ya uchaguzi itafuatwa basi uwezekano wa kushinda ni mkubwa sana...tena sana. Kuhusu kushindwa uchaguzi, siyo kweli kwamba alishindwa,Hope unajua mizengwe ya CCM na kama ulifuatilia uchaguzi ule utakumbuka kwamba ilifikia hatua hadi mgombea wa CCM( LOLENSIA BUKWIMBA) alitaka kujitoa kwenye uchaguzi ule sababu ya zomea zomea.
Dalili ya mvua ni mawingu leo nenda jimbo la BUSANDA hasa makoa makuu ya jimbo hilo (KATORO) kijiji kizima kipo mikononi mwa CHADEMA. Sasa kama makao makuu yanaongozwa na CHADEMA what do you expect uchaguzi ujao?(mara nyingi makao makuu/sehemu mhimu ya nchi yakiwa chini ya upinzani ni dalili za kutwaa nchi nzima mifano ni mingi,mfano:MADAGASCAR,GHANA,KENYA,ZIMBABWE etc)....so,this year hapatoshi....Mbunge aliye pewa dhamana(TEMPORARY) ya kuongoza jimbo hilo anapaogopa Makao makuu ya jimbo what do you expect? cha msingi ni yeye kujipanga vizuri......Ushindi BUSANDA unawezekana wananchi wamekwisha ungana kinasubiriwa mda wa uchaguzi kijana apewe MADARAKA.
 
Huyo ni mzee wa "kunji" kwa wale ambao mtaelewa lugha hiyo. Ni mpiganaji mzuri, akiwa bungeni hapatatosha, ukizingatia na hoja hovyo zitolewazo na kuungwa mkono.
 
Yule dada aliye mshinda bwana Magesa nilisikia alikuwa anagawa cmu na pikipiki juzi juzi hapa sijui kazitoa wapi.
 
NInyi mnamkumbuka Magesa, sawa hata mimi ninamkumbuka maana nilimpigia sana kampeni. Lakini ninamkumbuka zaidi Lolesia hasa baada ya kumsikia akitoa ushuhuda kwenye nkipindi cha TV cha mahubiri cha Mama Lwakatare on Ch. 10. Katika ushuhuda wake alielezea namna ambavyo Mungu alikuwa upande wake na jeshi la Shetani likashindwa vibaya. Moyo wangu uliuma sana ukizingatia kuwa mimi nilikuwa shahidi wa namna ambavyo Rushwa iligawiwa kule Busanda ili kumwezesha Bukwimba kushinda. Busanda ni mahali pa kwanza kuona watu wanagawiwa chupi za kuvaa ili waichague CCM. Serikali ya CCM iliamua kumwaga rushwa za kila aina ili kukomboa jimbo. Ndipo nilipokatwa mapanga kwa usimamizi wa Mhe. Dr. Festus Limbu(MB) na Mh. Ikangala Mwenyekiti wa Halmashauri ya Geita (CCM). Lolesia ninamkumbuka sana!!!
 
Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana
Try to be realistic ungeandika aligombea na kushindwa ungeonekana muungwana sana, angalia hizi data

Year 2005 CCM kura 61,868 = 79%, CHADEMA kura 3,100 = 4%, CUF kura 13,094 =17%,
Year 2009 CCM kura 29,349 = 56%, CHADEMA kura 21,249= 41%, CUF kura 827 = 1.5%,

Strategically, the shift of voters in each party is as follows; CCM lost 32,519 votes and CUF lost 12,267 votes while CHADEMA gained 18,249 votes.

Hapa kwa mtu makini wa CCM lazima ajiulize what happened, kwa kuangalia matokeo ya mwisho CCM ilishinda lakini kwa mkakati endelevu Chadema walijitahidi kuliko CCM.
 
Finias Magesa,Mperwa Lugiko(kalungubale),Gerad Malima ni miongoni ya wale waliokuwemo katika G11 mwaka 1994 baada ya kugomea mtihani wa Hisabati kwa madai ulicheleweshwa kuletwa.Baada ya kutimuliwa UDSM wakaenda mahakamani na hatimae kushinda kesi na kurudishwa chuoni na kulazimika kufanya mitihani ya UE mwezi wa 8 badala ya wa 6.
Jamaa ni radical haswa!
 
Back
Top Bottom