Majibu ya akina Mwigulu et al.
from Pythagoras theorem:
a[SUP]2 [/SUP]+ b[SUP]2 [/SUP]= c[SUP]2[/SUP]
[SUP]Therefore[/SUP]
c = √a[SUP]2[/SUP] + b[SUP]2[/SUP]
In your case,
X = √3[SUP]2[/SUP] + 4[SUP]2 [/SUP]cm
X = √9 + 16 cm
X = √25 cm
X = 5 Cm
Therefore x = 5 cms
Ha ha ha !You missed the joke, right?
Kweli nerds ni nerds tu, :glasses-nerdy:
shuleni hadi kwenye forums! lol
The Listener, remember the square sign should bracket a[SUP]2[/SUP]+b[SUP]2[/SUP] together i.e x=√(a[SUP]2[/SUP]+b[SUP]2[/SUP]).
View attachment 60285
wewe ushaipata??
You missed the joke, right?
Kweli nerds ni nerds tu, :glasses-nerdy:
shuleni hadi kwenye forums! lol
Nimekufananisha na Bwana mmoja nilisoma naye primary hakuwahi kupata 10% katika mtihani wake wa hesabu pamoja masomo mengine alikuwa akijikongoja. We wacheza na namba?
from Pythagoras theorem:
a[SUP]2 [/SUP]+ b[SUP]2 [/SUP]= c[SUP]2[/SUP]
[SUP]Therefore[/SUP]
c = √a[SUP]2[/SUP] + b[SUP]2[/SUP]
In your case,
X = √3[SUP]2[/SUP] + 4[SUP]2 [/SUP]cm
X = √9 + 16 cm
X = √25 cm
X = 5 Cm
Therefore x = 5 cms
Mheshimiwa umenikumbusha promotion moja iliyoendeshwa na kampuni ya vinywaji ya Coca cola, yule MC alitoa ofa ya tshirt na bag la shule kwa yeyote atakayepanda jukwaani na kusema "tarehe ya leo".Mkuu The Listener,kwa niaba ya Mwali, ningependa kukuhakikishia kuwa mimi kwa mahesabu ni mkari!, na tuhesabu tudogo tudogo twa kunywea maji kama hutu hatunipi shida.
I am a practical scientist , with a sense of humour.
Kwa taarifa yako tu hata hilo jibu la mwenzio lina error,it should be
x=sqrt(3[SUP]2 [/SUP]+4[SUP]2[/SUP])=5
mind you the brackets!
Hata hivyo Mwali , akiwa mwali si lazima ajue mahesabu sana maana umwali wake toosha kabisa
Mheshimiwa umenikumbusha promotion moja iliyoendeshwa na kampuni ya vinywaji ya Coca cola, yule MC alitoa ofa ya tshirt na bag la shule kwa yeyote atakayepanda jukwaani na kusema "tarehe ya leo".
Basi walipanda watu kibao wakajipinda kusema tarehe ya siku husika wengine kwa kiswahili, wengine kwa kiingereza, kifaransa, wengine kwa kikabila chao, wote walikosa.
Mimi nikajaribu kama natania vile, nilipopanda jukwaani nikasema neno hili, "tarehe ya leo". Kwa mshangao wa wengi nikashinda. Ingawa watu walihoji ni kwanini nilikuwa sahihi, yule MC akawaambia fimbo lilikuwa panda juu ya jukwaa useme neno, "tarehe ya leo" na wala sio kutaja tarehe yenyewe. Umenipataaa.....
Sasa kwa kesi yako kubali kushindwa, uliambiwa tafuta X, wakati unaona kabisa X hiyo ipo tene imezungushiwa duara banaaaa.
Ha ha ha !
Ni kweli they all missed the joke!
Jamaa alishaipata hiyo "X" kwa kuizungushia wino!!!!
Mkuu The Listener,kwa niaba ya Mwali, ningependa kukuhakikishia kuwa mimi kwa mahesabu ni mkari!, na tuhesabu tudogo tudogo twa kunywea maji kama hutu hatunipi shida.
I am a practical scientist , with a sense of humour.
Kwa taarifa yako tu hata hilo jibu la mwenzio lina error,it should be
x=sqrt(3[SUP]2 [/SUP]+4[SUP]2[/SUP])=5
mind you the brackets!
Hata hivyo Mwali , akiwa mwali si lazima ajue mahesabu sana maana umwali wake toosha kabisa