Financial security adviser

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Katika pitapita zangu za kutafuta hapa na pale nilikutana na ushauri kwamba kama unataka kuwa muwekezaji mzuri hata kama unafuga njiwa au unamiliki 5 star hotel unashauriwa kuwa na professional financial security adviser.
Kwa watu wenye ufahamu na haya mambo please naomba ushauri wenu, nitampataje huyo mtu kwa hapa DSM.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.
 
Inategema mtaji wako kama una mtaji mkubwa . Utahitaji pia

Political Analyst/Adviser wa kukupa mbinu wanazotumia kina Vithlani/Manji kufakikwa kuwa karibu wa watunga sera.

legal corruption Adviser- Huyu ni mwanasheri atakaye kusadia kukupa njia sahihi ya kuvunja sheria za kibiashara bila kuingia matatizoni( Eg Njia sahihi ya kutoa rushwa bila PCCB kukutia matationi)

Tax Evader Advisor- Kwa mazingira ya tanzania kupata faidakubwa ni lazima ukwepe kwepe kodi kimtindo. So for maximum profit ni muhimu kuwa na huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom