Financial Heist of the Century: Confiscating Libya's Sovereign Wealth Funds (SWF)

HopeDenis

Member
Apr 9, 2011
8
1
Wadau
Hayo ndiyo mambo ya Libya, someni afu mtafakari jinsi hii dunia ilivyo na UN yenye wenyewe (Americans and British aka World Bank na International Monetary Fund,)

Lazima viongozi wa Afrika wapate kigugumizi kwa hili swala ni gumu kwao, ndo maana mpaka leo TZ hawajatoa tamko lolote aidha la kupinga au kukubali yanayotokea Libya,

Wasalaaam
 

Attachments

  • Financial Heist of the Century.pdf
    223.2 KB · Views: 96
Back
Top Bottom