Hatimae Tanzania imetia saini mkataba wa East Africa community ambao waziri samwel sita alikataa kusaini mpaka vipengele viwili vya ardhi na usalama kuphtiwa upya..wamekubaliana hakuna swala la ardhi na ulinzi kutokuwepo! Source Daily National
Wangekuwa wanakomaa hivi kwenye mikataba ya madini tungekuwa mbali sana.
kuna wakati una point sana arifu aisee
Kama hapo kungekuwa na ile 10 percent nadhani tungekuwa tunazungumza mengine sasa hivi...!Wangekuwa wanakomaa hivi kwenye mikataba ya madini tungekuwa mbali sana.
Kwa hakika nampa hongera Mh.Sitta kwa kuwa makini sana
Sipati picha kama angelikuwa Ngeleja apo!!!!
Good! Tumeanza kuwa wajanja sasa.
Which one of the current members is meeting these conditions? Rwanda?, Tanzania?, Uganda?. I think there are other hidden reasons!Giving a verdict on why Sudan could not be admitted in EAC at the moment the leaders led by President Kibaki gave six conditions that the Africa's biggest country should have met.
They include acceptance of the community as per the treaty, adherence to universally acceptance principles of good governance, democracy, the rule of law, observance of human rights and social justice.
Source: Daily Nation