Finally Tanzania gets its own forum on skyscrapercity forum

Chumbageni

Member
Oct 27, 2010
94
23
Hi All,

After a year of struggling to get Tanzania on the world map on the popular skyscrapercity forum...we have finally got one now!

Thanks to (this is core team that tirelessly fought to get Tanzania get its own forum)
1.tanzan
2.kiligoland
3.bantugbro
4.TZboy
4.rockycity
5.geza ulole
6.modernafrica2011
7.mwinyi
8.iTZman
9.chamoto
10.issamichuzi
11.mark S

and all others I missed...

please visit SkyscraperCity - Powered by vBulletin

and go on to Continental Forums then on Africa you will see Tanzania.

We discuss various issues and NOT just buildings!

Karibuni!
 
thanks for info and the efforts made wapendwa. nimeishawahi kutembelea mara kadhaa hiyo site ina niliipenda sana, na mambo mengi sana mazuri. naamini hata wale wasiojua manufaa yake wakitembelea watajifunza kitu. binafsi siamini kuwa watu wanaweza kuchukua muda wao kupigania kitu kisicho na manufaa. ngoja nifungue tena hiyo link nipate maarifa

thanks wapendwa na mbarikiwe sana kwa juhudi zenu
 
thanks for info and the efforts made wapendwa. nimeishawahi kutembelea mara kadhaa hiyo site ina niliipenda sana, na mambo mengi sana mazuri. naamini hata wale wasiojua manufaa yake wakitembelea watajifunza kitu. binafsi siamini kuwa watu wanaweza kuchukua muda wao kupigania kitu kisicho na manufaa. ngoja nifungue tena hiyo link nipate maarifa

thanks wapendwa na mbarikiwe sana kwa juhudi zenu

asante sana kwa maneno yako mazuri, karibu sana,
 
what are the benefits?
kama unavyo jua intanet ni yaulimwengu mzima kila mtu anaweza fika lakini Tanzania - SkyscraperCity hii website inakutanisha watu wengi zaidi wanaotaka kujua maendeleo ya nchi mbalimbali na vitu vinavyovutia huko. labda wanataka kuekeza au wanataka kutembelea. Sasa siye watanzania hatukua wengi huko kupewa sehemu yetu kwahiyo hatukutaka kushika mkia kama kawaida ndo maana tukawa tunahamasishana napia na hao mods watupe kakona ketu. Sasa mtalii akitaka kuja tanzania akitu google tu atapata mahabari yote atakayotaka. Hata danganywa tena na wakenya wakisema mlima kilimanyaro upo kwao na zanzibar is just few hrs kutoka mombasa au nairobi. nazani hapo utakuwa umenielewa, sio kila kitu tufanyiwe kutangaza taifa letu jamani karibuni skyscrapercity leteni picha za maeneo mbalimbali tujulishe ulimwengu wapi mwanadamu wa kwanza alitoka.
 
Hi All,After a year of struggling to get Tanzania on the world map on the popular skyscrapercity forum...we have finally got one now!Thanks to (this is core team that tirelessly fought to get Tanzania get its own forum)1.tanzan2.kiligoland3.bantugbro4.TZboy4.rockycity5.geza ulole6.modernafrica20117.mwinyi8.iTZman9.chamoto10.issamichuzi11.mark Sand all others I missed...please visit SkyscraperCity - Powered by vBulletinand go on to Continental Forums then on Africa you will see Tanzania.We discuss various issues and NOT just buildings!Karibuni!
Nimefurahi saaaana... Tusker Bariiiidi!!! Yupo kule....
 
okay...kwa hiyo nyie ni society ya architects au wapenda ma-skyscrapers?

kuna kila kitu mkuu, watu wanaongelea hata wanawake, haina tofauti na humu jf, hilo neno skyscraper lisikutishe, sidhani hapa jamii forums wanaongelea jamii pekee
 
Back
Top Bottom