Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .
 
mmmmhhhhh mboni kawaida tu kukutana na member wenzako hapa anatafutwa sana BT sijui ntamuonea wapi..
 
Back
Top Bottom