Finally a book for all MEN to understand WOMEN!

Hzo zlzowekwa huko ni theory na ideology za wenzetu majuu na ingekua vema basi katika utafiti wake na mpaka kufikia kutoa kitabu angekua amekuja mpaka kwetu afrika tungemwona wa maana na sio alifanya tafiti za viburudisho vya huko kwao tu basi kaona amemaliza kazi lait angejua wa kwetu hawatabirik tunaenda na hivo hivo tu acodin 2 our enviroment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom