Fina mango

hahaha chica nipo aisee!....si unajua tena invisible toka anipe ajira ananifanyisha kazi sana aafu yeye ana relax!....Basi imekuwa balaha tupu shosti wewe mzima lakini.....

Hongera sana, wat an opportunity!!! anrelax pembeni yako I can imagine heheeeee!!!
Niko powa sana, nikashangaa ukanitupa kwa Bala afu hat akuulizia maendeleo ya miyo yetu hutaki.......vibaya hivyo???
 
Hahahaha shostito sijakutupa kabisa actual nilikuwa nataka nikupgie nikuulize maendeleo so far....Namamii shem wangu Bala hafanyi kosa.....shosti lets meet this evening for cup of tea basi at my crib unaonaje unipe updates hahahahaha!..I miss you though shosti wangu lakuchumpa...
 
hahaaaa hukufanya kosa pale....so far so gud!!!

kwa crib yako ntakuja tena na hiyo cup of tea ndo mwake kabisa!!!
same here shosti wangu la kuparama (hahaaaa we BM haya maneno ni y akizamani lol)
 
Duh kijana wa Mitchell,Nsibirwa Livingstone unaona wewe!!Mpaka spelling error umeinotice?

Ah, usinipeleke huko kwa Mitchelites.

Halafu Nsibirwa ni watoto wa juzi, that place used to be called Northcote, it was a republic in itself within the Republic! Then the government decided to change the name, claiming the rowdy behaviour of it's residents must be related to the name....so they gave it the name Nsibirwa, after the man who donated his land to the establishment

Lumbox oyee
 
hahaaaa hukufanya kosa pale....so far so gud!!!

kwa crib yako ntakuja tena na hiyo cup of tea ndo mwake kabisa!!!
same here shosti wangu la kuparama (hahaaaa we BM haya maneno ni y akizamani lol)

eeh shostito...it was nice seeing youjana yaani eeh we should do this more and more au siyo!.......Hope my shem Bala hakumind umerudi home late!.....
 
hakujali kabisa shosti na hivi nilikuwa kwako!!!

mambo yako vipi?
mmmh shosti leo nilikupatia match....kwenye thread ya JF couples hahaaaaaaaa!!!!
 
hahaha ipo wapi hiyo topic tena!na miye niitembelee?....JF couples?mwenzio sina mwenza jf wa kwangu haingiii humu shosti si unamjua mwenyewe lakini......hahahahahaha
 
hebu kafukue fukue kwenye mapenzi, urafiki na mahusiano bana.....hahaaaaa ila nlokupa anakufaa sana!!! trust me....
 
Halafu wala hakuja kuithibitisha..........Bado nasubiri kwa hamu sana uthibitisho!
icon10.gif
 
hahaha ipo wapi hiyo topic tena!na miye niitembelee?....JF couples?mwenzio sina mwenza jf wa kwangu haingiii humu shosti si unamjua mwenyewe lakini......hahahahahaha

Yeah sema naye! Mafua na flue kwisha thanks kwa ile mizizi pori!
 
Bado naona na bosi walimkimbia anamkono still.....kweli mjini mambo hayaendi bila kina Ruge na Kusaga...

attachment.php
 
Attachments

  • contact_us.jpg
    contact_us.jpg
    59.4 KB · Views: 141
Ooops! Hivi huku nimefikaje tena? Nitakuwa nimekosea njia!

Samahani kama nimekukwaza!
icon10.gif
tayari umenikwaza kwa kweli......umeniharibia flow n possibly kila kitu!!!
let me sort this out.....potea hapa!!!!
 
hebu kafukue fukue kwenye mapenzi, urafiki na mahusiano bana.....hahaaaaa ila nlokupa anakufaa sana!!! trust me....

hahaha shosti ndiyo nipo huko ni page ya ngapi maana kuna page kama 28 hivi na siwezi kusoma each page si unajua....duuh nipo anxious kujua ni nani huyo mtu hahahaha ok wait ngoja niendelee kuangalia then nitathibitisha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom