Mafunzo ya Film and video production kwa ujumla

Jun 3, 2012
32
7
Kwa yeyote anayekijua chuo chochote au taasisi binafsi inayotoa mafunzo ya film making na video production kwa ujumla anijuze..

Natanguliza shukrani.
 
Kuna kimoja kipo Arusha mitaa ya madukani karibu na Arusha teachers college.. Jaribu kufatilia nasikia kipo vizuri ila sina details zaidi.
 
KWA YEYOTE ANAYEKIJUA CHUO CHOCHOTE AU TAASISI BINAFSI INAYOTOA MAFUNZO YA FILM MAKING NA VIDEO PRODUCTION KWA UJUMLA ANIJUZE..
Natanguliza shukrani
Kila muigizaji wa Bongo Movie ana vyooote hivyo, ndio maana wanatoa hadi movie 6 ndani ya siku 3
 
Back
Top Bottom