Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

Ikithibitu tu kuwapa adhabu kali hasa kuwafukuza naamini kabisa CCM itakuwa imechambia maji ya moto tena yaliyochemka 100°C!!!!!

Mkuu ccm hawawataki hao jamaa, lkn wanaogopa kuchukua hatua kwa sababu majimbo yataenda chadema. Tatizo jamaa wanaipenda chama chao, vinginevyo wangeshaamua.
 
Kosa ni kukubali hoja ya mh zitto ya kutokuwa na imani na waziri mkuu na kutoa sign zao .
 
Mkuu ccm hawawataki hao jamaa, lkn wanaogopa kuchukua hatua kwa sababu majimbo yataenda chadema. Tatizo jamaa wanaipenda chama chao, vinginevyo wangeshaamua.

Lakini na hawa akina filikunjombe kwa nn wanasubiri kufukuzwa? kwa nini wasivae gwanda faster waachane na magamba!! hawajifunzi kwa akina marehemu kolimba! na kilichokaribia kumtoa roho mwakyembe, mwandosya??
 
Naibu waziri mh makamba ,aitaka ccm iwape adhabu kwa kusaliti chama,,ukiwa ccm na ukiwa mkweli hufai,source wapo radio

Wote walio ccm wapo kwa maslahi ndio maana wakati mwingine wanakitetea chama badala ya kuwatetea wananchi.Wabunge wazalendo walio ccm bora muhame Hilo li chama la mafisadi.
 
Wabunge wa ccm hawawezi kuwa wabunge wa watu kwasababu wameingia ccm kupora rasilimali za nchi na ndio maana ubunge wao wananunua kwa kuhonga na ndo hao wengine wanakamatwa kwa kupokea rushwa
 
Hawawezi kuwatimua, not in a million years. CCM sio wajinga kiasi hicho, the last thing they want right now is a another by-election for expelling an MP who defended the public interest.
 
Source Mtanzania

Mh mbunge Filikunjombe kawachana wabunge wa CCM na kuwaita waoga na wanafiki kwa kuogopa chama zaidi kuliko wananchi walio watuma bungeni.

Hayo yamejiri baada ya wabunge hao kuwa waoga kutia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu pinda na kukaa kuzungumzia mambo hayo chini chini.

Mbaya zaidi wamekuwa wabunge wa kujipendekeza kwa chama na viongozi wake na kuwatupa wananchi wao.

My take

Sishangai ndo maana hata JK kashindwa kuvunja baraza hadi apate idhini ya chama
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu,gamba haliwezi kuwa gwanda.
 
Back
Top Bottom