Filikunjombe, Ludewa kuzuri hivyo jamani!

nani yule aliyewahi kusema HAJUI KWA NINI TANZANIA NI MASKINI? Nikujmbusheni bwana!!!!

Rais Kikwete wa taifa letu la Tanzania ndiye aliyejibu kuwa hajui kwa nini Tanzania nchi yake anayoiongoza ni maskini.
 
Kwenye miti hakuna wajenzi nchi nzuri tamu kama hii hali ya hewa bomba kuliko Ulaya ardhi yenye rutuba watu tunauana na mfinyanzi wa wazo kwa kupenda kuambiwa mambo yote Dar. Tujenge nchi hasa maeneo kama hayo miji yenye mvuto na kilimo bora hali ya hewa nzuri tuache kubanana mijini.

Aisee, ndiyo yaliyo moyoni mwangu ndio umeyanena. Nyerere aliwafukuza wawekezaji ambao walitaka kutanua zao la Chai na Pareto, nasiki zao la Pareto ni kama limekufa maarufu kwa kutengeneza dawa za kuuliwa wadudu.

Hali ya nchi inavyoonyesha bila ubishi ni ya rutuba sana kutokana na natural vegetation inavyoonyesha, milima na maonde, we acha tu, kunaonekana kuzuri, mwaka huu au mwakani lazima nitie mguu kuona huko kulivyo nipate kitalu cha kupanda mche wa mbuni.
 
Nimeona picha ya ziwa hapo juu. Hilo ni ziwa gani? Au ni lile ambalo tumeazimwa tulitumie kwa muda na mama Banda!

Hilo ni ziwa lililo kwenye great lift valley, ziwa Nyasa, Wamalawi wanaliita Ziwa Malawi. Mwenyeji wa mwambao wa Ziwa Nyasa anaweza kuelewa wanachoking'ang'ania wamalawi?
 
ukitaka kujua tanzania ina neema,tembelea uyole mpaka kyela mbeya!unalima mara 3 kwa mwaka

Umenena nimeshapita maeneo hayo, nadhani Ludewa ni mwendelezo wa hali ya hewa na mazingira ya apangano ya milima ile ile. Kumbe picha ya huko Uyole naweza kuelewa sasa hali ya Ludewa ilivyo.
 
ama kweli Wamalawi wanataka kutushika pabaya???? ina maana wanataka hilo ziwa liwe kwenye himaya yao tu....... kiukweli hatukubali hata kwa ushoga wao...... mashoga wanatutishia nyauuu
 
ama kweli Wamalawi wanataka kutushika pabaya???? ina maana wanataka hilo ziwa liwe kwenye himaya yao tu....... kiukweli hatukubali hata kwa ushoga wao...... mashoga wanatutishia nyauuu

Povu lote la Joyce Banda ni hili ziwa na kuona Tanzania kama maadui wake. Anajiona yeye yuko juu ya wenzake waliomtangulia. Ameanza vibaya na hapa kisiasa kishakanyaga boya kwani taarifa nilizo nazo wapinzani wake anataka kuchukulia mgogoro alio nao kwa Tanzania ni mgaji wa kumwangusha.
 
Back
Top Bottom