file zilizoliwa na virusi katika flash disk

plawala

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
625
60
habari wana jf
naomba msaada wa namna ya kurejesha faili ambazo zimeliwa na virusi,ntashukuru kwa maelekezo
 
Mkuu hapa umepotea njia,hili ni jukwaa la siasa kwenye upande wa katiba mpya.Watu watasoma na kuendelea na shughuli zao.Jaribu kule jukwaa la Advice au Chit-Chat.Kwa kuwa wewe ni Senior member nilitegemea ungekua unajua hili.Wapo wataalam pia kule kwenye jukwaa la Enjoy This.
Hope nimekusaidia.
 
Back
Top Bottom