Filamu Za Ngono Kenya....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125

Kanda za ngono zinasowahusisha Wakenya zinazidi kusambaa madukani humu nchini jambo ambalo linaonyesha jinsi maovu ya kijamii yalivyokithiri nchini. Cha kusikitisha ni kuwa watoto wasichana wadogo wanashawishwa kupigwa picha wakiwa uchi ili kutosheleza maslahi ya wanaofanya biashara hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Unajua mimi nawashangaa sana hawa watunga sheria haswaa nchi hizi za africa, kuna mambo mengi sana mazuri ambayo tayari yameshakuwa implemented nchi za wenzetu kwa ajili ya kulinda jamii zao!! lakini kwetu wanasubiri hadi mambo yatakapofikia "Point of no return" ndo waanze kutunga sheria. Au ndiyo ukilaza unawasumbua, kwa sababu kama ni mtunga sera/sheria unalo jukumu la kuhakikisha una-explore kila details na kuweza kufikia hatua nzuri. Sasa inshu ya dini zingine hata hazieleweki zinafundisha nini au ndiyo wezi, picha za ngono ni matokeo tu ya watu kuwa na hulka ya kufanya ngono bila kuwa na mipaka. Wakenya wanafanya ngono hata kwenye bustani za kupumzikia tena mchana kweupe, harafu wanajisifu wako smart, smart wakati mnajiaibisha kiasi hicho.
 
Tatizo tunapenda sana kusaidiwa au msaada, kwa dunia ya leo, my belief is that hakuna msaada wa bure, there should be something in return

Shame is that is being used in the name of religion.........
 
Sodoma na gomoro imekaribia watu wanawaza ngono max katka juma zima ni siku 6/7.check hata jf mada za zenye mrengo wa ngono zinaushawsh mkubwa na wachangiaj ni weng
 
Kwani kuna tatizo gani katika Ngono wakuu? Zaidi ya asilimia tisini wa mtandao husearch mambo yahusuyo ngono walau mara maoja kwa mwezi! Tatizo ni kama hao wanaocheza picha za ngono wako chini ya umri wa utu uzima, au kama wanalazimishwa, otherwise ni sinema tu kama zilivyo sinema zingine; hata hao watunga sheria huwa wanaangalia picha za ngono, ije kuwa nyie washabiki wa JF? Haya mambo yapo miaka mingi kabla Yesu, kinachotakiwa ni kuweka utaratibu mzuri na kuhakikisha hizi picha haziangukii miongoni mwa juniors na kuwaharibu. Picha za ngono ni hitaji muhimu mno, mimi ninazo nyingi huwa naangalia na mke wangu, anayezihitaji anipm.
 
[Kheee!!!!!!!!!!!!!!! sibure kuna kitu kinakusumbua
 
filamu za ngono ni za kudhibitiwa,ingawa kuna ugumu kutokana na teknolojia ilivyokua..
 
Back
Top Bottom