Filamu ya Salome kuingia madukani very soom

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Filamu ya Salome iliyo andaliwa na kikundi cha SAFARI ARTS GROUP sasaipo kwenye hatua za mwisho wa kuandaa promo, na baada ya hapo kutakuwa na promo vikiambatana na usambazaji.

Akiongea na Blog hii ndigu Bensona Mmiliki wa studio ya Black and White ambao ndiyo maeditor wa filamu hiyo amesema kwa sasa wanaongea na SUPRIM kwaajiri ya usambazaji na uandaajiwa filamu hiyo umekamilika.

Ndugu Silvanus Mumba (Executive producer) amesema anamshukuru Mungu kwakuwa Filamu hiyo imemalizika salama na ni filamu ambayo itatoa majibu ya nini kimefanyika ndani ya filamu hiyo, akiongezea ndugu Eddy Besha (Director) amesema, wasanii walicheza kwa hisia ya hali ya juu na kiuhalisia kiasi kwamba atakaye iona filamu hiyo ataona matukio hayo ni kama ya kweli.

Tunawahakikishia wapenzi wa filamu Tanzania watapata kile ambacho hawajawahi kukipata n ile Pick ya kimata inakuja na filamu ya Salome.

Nawaomba wadau wote musiikose filamu hiyo
 
Back
Top Bottom