Filamu kali zilizotamba kipindi hiko.

yellow card
eastern condors
bullet in the head
lost boys
platoon leader
nam angel
robo war
 
Amita mkono wa chuma!!!!sijui ilikuwa inaitwa shahensha nadhani!!!!kwa sisi watoto wa kinondoni hizo movie tulikuwa tunacheck kwa mzee mwasi kona ya mwananyamala!!!!
 
Kitambo bana watu mpaka leo arnold anaitwa COMMANDO JOHN kutokana na movie lake la COMMANDO,na sylvester stallone anaitwa RAMBO
 
mkanda wa Yesu, never say die, the dragon, snake style, tai chi, my father is hero.
 
Firts legend,the bodyguard frm beijing,in hell,end of days,war bus,tears of the sun,the passion of christ,predator.
 
1. Saturday night fever-John Travolta.2.Shani-Amitabh bachan.3.Kaalia-Amitabh.4.DISCO DANCER-Mithun. 5. The bodyguard-Whitney Huston 6.Mukadar ka sikandar-Amitabh. 7. Live and let die-Sean cornel,james bond.
 
Mimi mpaka leo naitafuta Indiana Jonas. kipindi hicho sinema inatoka wilayani Korogwe wanaitembeza vijiji. video alikuwa nayo mwalimu tu huko butiama.
 
>Truck Tuner ya Isaack Highes.
>Black mama white mama ya Pam Grier.
> Amar Akbar Anthony ya Dharmendra, Amitabh, Rish kapoor.
> Sholay ya Amitabh
> Naseeb ya Amitabh
> Doctor No ya James Bond
 
Indiana Jones
A.W.OL..van dame

Mimi mpaka leo naitafuta Indiana Jonas. kipindi hicho sinema inatoka wilayani Korogwe wanaitembeza vijiji. video alikuwa nayo mwalimu tu huko butiama.​


Ninazo zote tatu ....
 
The good the bad and the ugly
jamani hii filamu naitafuta sana, kama kuna member anafahamu sehemu ambayo nitaipata aniPM.
 
The Heat.. Anord Shwazernerger...
Nakumbuka jinsi alivyokua chumba cha hotel akakatua wamemuwekea mkanda wa X na kuzima TV fasta na ksema .. CAPITALIST
 
Back
Top Bottom