Filamu kali zilizotamba kipindi hiko.

Madodi

Senior Member
Apr 10, 2011
176
58
kuna movie kali sana zilitamba wakati huo na kama hujawahi kuziona basi bado hujacheki movie...nakumbuka kitmbo hiyo nacheki movie kwenye mabanda, tena zikiwa zimetafsiliwa na LUFUFU. Zifuatazo ni baadhi ya hizo filamu;
1.Deadly Prey-komando kipensi
2.The hard way
3.Rambo
4.No ritrit no surrender
5.Cyborg
6.Escape from sobibor
7.Dusk down
8.Jumanji
9.American ninja
10.Full metal jacket
TAJA na wewe unazozikumbuka...
 
Sarafina
Kipindi hicho kijijini kulikuwa na video kwa mtendaji wa kijiji tu.
Inabidi kwenda kutizama, umeoga na kupiga mswaki
Wakubwa tunakaa kwenye viti watoto chini

Baada ya movie kuisha inapitishwa karatasi ya maswali
Tunapewa mtihani
Ukikosa, hakuna kuja kuangalia tena siku ingine.
 
WarBus,American ninja,above the law,delta force 1&2,enter the dragon,hilton bangkok,where the eagle dare,dead dozen,love and bullet,the mechanics,disco dance,dance dance,athakanoon'one down two to go,kinjite the frobiden subject.
 
Sarafina Kipindi hicho kijijini kulikuwa na video kwa mtendaji wa kijiji tu. Inabidi kwenda kutizama, umeoga na kupiga mswaki Wakubwa tunakaa kwenye viti watoto chini Baada ya movie kuisha inapitishwa karatasi ya maswali Tunapewa mtihani Ukikosa, hakuna kuja kuangalia tena siku ingine.
kwi kwi kwi umenikumbusha mbali kwelikweli, si tulikua tunazamia kwa mzee sud said massoud yani unaskilizia kwa nje ukiskia kamlio ka tv unawah getini, mama alikua anatunyuka kwelikweli lakini wapi,kesho tunazamia tena ukute muvi la Amitha batchan au mithun chakarabot harudi mtu nyumbani siku hiyo.
 
They call me trinity
Diamonds are forever
The A team
The good the bad and the ugly
Hang them high
Laurel and hardy
First blood
Vampire
Miami vice
Shawn shank redemption
Home alone
Boys n the hood
Best man
Never die alone
The wood
Inter the dragon
Set it off
 
Movie za enzi hizo zilikuwa zinanifurahisha sana maana zilikuwa na Part 1 hadi Part 4 kama vile Missing In Action ya Chuck Norris
Cyborg
BloodSport
No Where To Run
American Ninja
New Jack City
Passenger 57
 
In the line of Duty

1.Umeniwahi nimeipenda sana hiyo Mniga kajaza mbaya anapigana na dogo(donieni)

2.Full metal Jacket
3.Missing in Action
4.Commando & Predator
5.Face-off
6.Tompoo anavunja nguzo kwa ugoko(cybog)
7.Set-it-off
8.The Bodyguard from beijing
9.Solo
10.Congo
11.War bus
12.King kong(sio classic)
13.Movie ya lolenzo na mipikipiki
14.Spider
 
They call me trinity
Diamonds are forever
The A team
The good the bad and the ugly
Hang them high
Laurel and hardy
First blood
Vampire
Miami vice
Shawn shank redemption
Home alone
Boys n the hood
Best man
Never die alone
The wood
Inter the dragon
Set it off

Hiyo ya Enter in the dragon tulikua tuaita "nteze dragon"
 
-muhogo mkavu...ile ya mzee Kawawa (RIP)
-chale chaplin
-giuliano gemma ..one silver dollar
-a bridge too far
-the boss ...bruce lee
 
-kabi kabi mekhala(kina mumtaz na amitah bachan na hema malini na mit kapoor)
 
Back
Top Bottom