William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,374
We prefer to participate in the shaping of our own destiny, and we believe that we have the resolution and the ability to overcome difficulties and build the kind of society we want.
Nionavyo mimi fikra za Mwalimu kuhusu kubadilika kwa Afrika bado zina nguvu kubwa.Kwakweli waafrika tukitaka maendeleo ya kweli tunahitaji kubadilika.Tubadilike na tuachane na ubinafsi
Mkuu heshima mbele, Afrika haiwezi kubadilika just for the sake of kubadilika bila muongozo maalum, either kutoka kwa viongozi wake au kutoka kwa wananchi wake, sasa kama haya maneno ya Mwalimu ni ya kweli, basi Afrika ilitakiwa kuwapa wananchi wake nafasi ya kuweka mandate kwa viongozi wake of exactly what kind of change wanataka, that has not been the case so far,
Iwapo kuna kiongozi antaka kuleta mabadiliko lazima aweke muongozo unaokubalika, na kama haukubaliki ni lazima awaulize wananchi wanataka nini, lakini maneno ya change tu hayawezi kutusadia kitu, bina-adam ana tabia ya kuwa-comfortable mahali alipo, sasa kumbadili ni lazima utumie sheria, au siasa, lakini change! change! change! itasaidia nini, kama tunatka kuondoa ubinafsi dawa ni kuruhusu utawala wa sheria uchuke mkondo, lakini hatuwei kutegmnea waa-Afrika kubadilika ghafala na kuacha ubinafsi.
Yes, mawazo ya Mwalimu yana nafasi kubwa sana, lakini a change of what na under what conditions au under who's expense?
Ahsante Mkuu.