Fikiria kwanza kabla yakuchangia jambo

Dungulee

Member
Oct 23, 2008
17
1
Wanachama wa jamiiForums hebu nisaidieni kwa hili:-

Kwa mfano Wewe binafsi ukiwa kama muhalifu na kutokana na dhambi zako ama uhalifu wako ukaambiwa uchague hukumu yako mwenyewe kati ya hizi hapa ungechagua ipi?

1.Kukatwa vidole gumba vya mikononi ama kukatwa nyama ya juu ya mdomo?

2.Kutobolewa ngoma za masikio uwe kiziwi ama utobolewe macho uwe kipofu?

3.Mwanaume ukatwe uume wako ama mwanamke ukatwe maziwa yako

Fikiria kwanza kabla yakujibu.
 
Back
Top Bottom