Fightings in south sudan

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,099
10,796
Less than a year since independence from the North fightings and killings in the South Sudan has continued unabated.This has prompted the government to send troops in Pibor to quell the violence which has so far claimed more than 50 lives.

More story....
 
Wana JF wengi wamegwaya na hii thread.Hii ni kwa vile hapo zamani tulitetea shinikizo la kujitenga kwa south Sudan eti wanateswa na wenzao wa Sudan ya kaskazini kwa vile wa kaskazini ni waislamu na wao ni wakristo na wasiomini dini,na kwa vile wa kusini ni waafrika na wa kaskazini ni waarabu.
Mauwaji yanayoendelea mbali na kudhihirisha uongo wa vyombo vya habari yanaonesha sura halisi ya watu wa Sudan na matatizo ya nchi za kiafrika.
 
Hii inamaanisha dose ya Gaddafi kwa Bashir ni muhimu ili south Sudan iwe na amani
 
Hii inamaanisha dose ya Gaddafi kwa Bashir ni muhimu ili south Sudan iwe na amani
Ndio yale yale tunayosimulia.Sasa kwani Albashir anahusika vipi na vita vya sasa?.Na dose ya Ghadafi ni ipi njema ya kuigwa eneo jengine la dunia.
 
Ndio yale yale tunayosimulia.Sasa kwani Albashir anahusika vipi na vita vya sasa?.Na dose ya Ghadafi ni ipi njema ya kuigwa eneo jengine la dunia.
Anafanya juu chini kuhakikisha sudan kusini haitawaliki. Dawa ni kumng'oa mwenyewe.
 
Anafanya juu chini kuhakikisha sudan kusini haitawaliki. Dawa ni kumng'oa mwenyewe.
Bashir amejaribu kujisafisha kwa kutoa uhuru lakini chuki za wakristo na mayahudi kwa waislamu ni kama ilivyo katika Qur'an.
Zamani kitu kidogo kilivumishwa ni waislamu wa kaskazini au waarabu lakini sasa inaitwa tribal killings!.
 
Ami lazima uwe rational. Hii ni tribal conflict ambayo serikali ya Southern Sudan inaishughulikia. Hata Kenya na Tanzania kumetokea ugomvi wa makabila kuhusu wizi wa ng'ombe. Hii haimaanishi kwamba Kenya na Tanzania hazikuwa na haki ya kuwa huru.
 
Hapo kabla ya uhuru tatizo lilikuwa ni hili hili inashangaza mataifa ya magharibi kwa maslahi yao wakaitumia kama mtaji wa kulazimisha wasudan kutengana.
 
Hapo kabla ya uhuru tatizo lilikuwa ni hili hili inashangaza mataifa ya magharibi kwa maslahi yao wakaitumia kama mtaji wa kulazimisha wasudan kutengana.
Hakuna aliyewalazimisha Wasudan wa kusini kujitenga. Waliamua wenyewe baada ya vita vya zaidi ya miaka 20 ambavyo asili yake ilikuwa ni uadui wa Waarabu dhidi ya Waafrika. Nimekuwepo Southern Sudan, nimeona jinsi Waafrika walivyotaabika chini ya utawala wa Kiarabu, wengine wakichukuliwa utumwani Khartoum. Huu ni ukweli usiopingika.
 
Na huku kuuwana sasa si kutaabika?.Suala la kuchukuliwa utumwani ni hadithi za uongo wa makanisa tu.Hakuna mtu anayechukua mtumwa miaka hii kwa maana ya utumwa unaozungumzwa na makanisa.Watu hurubuniwa na kupelekwa wasikokujuwa kufanyishwa kazi kwa ujira mdogo au kutumikishwa katika kazi umalaya kwa wasichana.Kama huu ni utumwa unaokusudiwa basi uko ulaya zaidi kuliko Afrika.
Soma hapa utumwa unaofanyika India kwa manufaa ya Amerika.
 
[h=1]S. Sudan army takes charge of security in troubled town[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating
home07px.jpg
An army officer in South Sudan in Pibor Town.
By AFP (email the author)

Posted Wednesday, January 4 2012 at 00:00
In Summary
Insurgency. Gunmen burned grass thatched huts and looted a hospital in the worst flare-up in a dispute that has left more than 1,000 dead in recent months.

South Sudan's army is in "full control" of a flashpoint town, after thousands of villagers fled into the bush to escape a marauding militia army in the world's newest country, officials said yesterday.

A column of some 6,000 armed youths from the Lou Nuer tribe marched on the remote town of Pibor in troubled Jonglei state, home to the rival Murle people, who they blame for cattle raiding and have vowed to exterminate.

"Pibor is under the full control of the government, and the Lou Nuer have been ordered to return to their homes, and they are starting to do so," Information Minister Barnaba Marial Benjamin said.
Gunmen burned thatched huts and looted a hospital run by Doctors Without Borders in the worst flare-up in a dispute that has left more than 1,000 dead in recent months and threatened to destabilise the fledgling nation.

UN steps in
The government and the UN, which has warned the ethnic violence could lead to a "major tragedy"- were beefing up their forces in the area.

Lise Grande, the United Nations humanitarian coordinator for South Sudan, said "probably well over 20,000," people had fled into the bush "running for their lives and looking for safety." Officials fear the fighting has left scores of people dead, while the UN has flown wounded to the capital Juba.

But Mr Benjamin said the violence of the cattle vendetta would be brought under control, saying that "South Sudan is not, and will not become, some kind of Somalia."

Share This Story
15Share

Just one health clinic remains to provide healthcare for some 160,000 people in Pibor county, after Pibor hospital and a clinic at nearby Lekongol village run by Doctors Without Borders were looted.

Mr Parthesarathy Rajendran, the head Doctors without Borders of mission in South Sudan, warned that the longer people stay in the bush the "more serious it will become for people who are injured or sick."

"They fled in haste and have no food or water, some of them doubtless carrying wounds or injuries, and now they are on their own, hiding, beyond the reach of humanitarian assistance," Rajendran said in a statement.
 
Hakuna aliyewalazimisha Wasudan wa kusini kujitenga. Waliamua wenyewe baada ya vita vya zaidi ya miaka 20 ambavyo asili yake ilikuwa ni uadui wa Waarabu dhidi ya Waafrika. Nimekuwepo Southern Sudan, nimeona jinsi Waafrika walivyotaabika chini ya utawala wa Kiarabu, wengine wakichukuliwa utumwani Khartoum. Huu ni ukweli usiopingika.
don't waste your valuable time to argua with this Ami. Just click her profile na check her posts...
 
don't waste your valuable time to argua with this Ami. Just click her profile na check her posts...

Profile yangu na posts kwani vinabadilishaje ukweli unaodhihiri huko Sudan?.Achana na mimi jadili matukio yalivyo Sudan.Kwani huoni kwamba huko nyuma kote tumekuwa tukipumbazwa na propaganda za kimagharibi.
 
Back
Top Bottom