DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
....Teh, teh, teh! This is gooood!Tatizo la Kenya ni dhana potofu waliyonayo kuwa wao (Kenya) ni bora kuliko Watanzania! Kwa miaka wamekuwa wanaamini hivyo na hata kuja kwao kufanya biashara hapa wanakuja na very bad attitude. Wanadharau watu, wanajiona wao wako juu na mbaya zaidi wanapokuta Watanzania sio watu wa makelele (confrontational) basi wao wanadhani watu ni wajinga. Ni pale biashara inapokwama ndio wanaanza kuleta ngonjera za mara middle class ya Tanzania ni ndogo!.Hivi wakati wanaanza biashara hawakujua middle class ilikuwa ndogo? Na huo u-middle class wa Kenya ni upi? Ni wa Kibera?
...Ni ujinga wa baadhi yao! Dharau will do them no good.Ukisoma kwenye hiyo article kuna mahali wameandika kuwa watanzania wanapenda kuva kanga, mashuka, vikoy! na wanaeleza kana kwamba sababu ya maduka ya nguo toka Kenya kutofanya vizuri hapa bongo ni kwa sababu watanzania wanavaa mashuka! Increadible! Wakenya wamejua lini kuvaa? Ukikatiza mitaa ya Nairobi wako wamama kibao wamechanganya rangi kama x'mas tree leo hii ndio mwandishi anasema watanzania wanavaa mashuka? Madharau gani haya? Fikra za kikoloni ndio zinawasumbua.