fifa nini?kumuacha van persie tuzo ya mwanasoka wa dunia?

Sir_Finus

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
330
139
fifa imenishangaza sana kumuacha van persie kwenye wachezaj 23 wa kuwania mchezaji bora wa dunia!
 
kwa nini awemo?

nitajie mchezaj mwenye record hii kwny season hii
13 goalz kati ya 12 game-epl
8 goalz kati ya 4 game-international
4 goalz kati ya 5 game-uefa

hata ronaldo na messi wapo nyuma yake kwny international games tangu august mpaka sasa,wamemzid kwny uefa na ligi!
Sasa unamcompare benzema na persie kwa sasa?
 
Mkuu tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka inatokana na perfomance ya mchezaji katika msimu uliopita wa mashindano mbalimbali. Sasa jiulize huyu Van Persie alifanya nini msimu uliopita kiasi kwamba awe kwenye list?

Mbona hujiulizi Forlan amewekwa wa nini wakati sasa ni majeruhi? Etoo, Abidal, Alves je?
Hao wote ni kutokana na perfomances zao last season.
 
Maelezo yanajitosheleza.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom