FIFA Confederations Cup 2009

kweli mpila mchezo waajabu.yani egypt wameshindwa hata kupata goli moja? kesho sijui nitajificha wapi kazini manake nimeongea uchafu sana kuhusu timu ya usa.

Hahaha..babu unakazi kweli.
Mwenzio pia nashangaa hawa Pharaohs wamechemsha
kivipi.Yaani SA wame-advance with their mediocre game
na hawa Misri tulikua na high hopes nao wameambulia patupu...
kweli mpira hudunda.
 
Hahaha tatizo mliongea sana uchafu, mnalo na mlinywe. Mie hapa ni kicheko tuu maana sijawahi kuwa mshabiki wa Egypt, alafu nadhani wamisri waliwaunderestimate US matokeo yake wamekuwa humbled.
 
Misri walimaliza nguvu zao zote wakasahau kuna game na USA but wametuwakilisha vizuri
 
Misri walimaliza nguvu zao zote wakasahau kuna game na USA but wametuwakilisha vizuri

Kwa jinsi walivyocheza na Brasil na Italia, Misri ndio pekee wangeweza kumtoa jasho spain.... I am disappointed!!! Na USA hawajaonyesha bado watatokea wapi na spain

Yangu macho siku ya final... SPAIN VS BRASIL
 
MTM Umemuona Kleberson jana?

NImeona Kiasi.. maumivu kwa Italy yalikuwa mabaya hasa jinsi brasil walivyowageuza wenzao Manure na wao kujifanya Barca... Hahahaaaaaaaaaaaaaa

... i was switching channels matokeo yake nikaishia kuchoshwa tu na warabu wale!!
 
MTN Umemuona Kleberson jana?

Aloo weye!!!...heshima mbele. Za kwako ?..
Kusudio langu ni kukutania kuhusu hio avatar yako..utaibadili?
maana naona imepitwa na wakati...LOL!:)

One Love bro!

P.S. nani anachukua Confed cup?
 
Aloo weye!!!...heshima mbele. Za kwako ?..
Kusudio langu ni kukutania kuhusu hio avatar yako..utaibadili?
maana naona imepitwa na wakati...LOL!:)

One Love bro!

P.S. nani anachukua Confed cup?
Bado sijaamua niweke avatar gani,ngoja tusubiri inaweza kuwa Benzema
 
NImeona Kiasi.. maumivu kwa Italy yalikuwa mabaya hasa jinsi brasil walivyowageuza wenzao Manure na wao kujifanya Barca... Hahahaaaaaaaaaaaaaa

... i was switching channels matokeo yake nikaishia kuchoshwa tu na warabu wale!!

Jamani hayajaisha tu?, kipindi choooooote hiki niko likizo ya 'jukwaaa"?

Am back fellas,'-...
 
Jamani hayajaisha tu?, kipindi choooooote hiki niko likizo ya 'jukwaaa"?

Am back fellas,'-...

Sema kiddo?..welcome back with a bang. Meanwhile we have been
holding fort while a lot was passing under the bridge.

Next season will be very interesting as it is.
 
Spain Vs USA..Game imeanza now,naona US wameanza kwa kasi sana,hope mechi itakuwa bomba mno.Let's wait and see
 
Duh,

US wanaonekana kuwa firm mpaka dakika hii ya 13. Wataweza kwenda mbele zaidi?

I can bet, the Final will be Spain vs Brazil.

Lakini mpira hudunda, anything is possible!
 
spain wanacheza kabumbu murua saaaana.....ni timu yenye viungo bora duniani kwa sasa....
 
spain wanacheza kabumbu murua saaaana.....ni timu yenye viungo bora duniani kwa sasa....
Yo Yo, ulitarajia US wawaondoe Egypt kirahisi hivi?

Anything is possible.

Naipenda Spain na natamani ndiyo ichukue kombe hili na hata la dunia!
 
Back
Top Bottom