Fiesta....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Nilipewa mwaliko wa VIP......Nilikuwa nazunguka zunguka jana viwanjani (Tshirt ya mistari na nimevaa ID shingoni)....

watoto wadogo wa kike may be age from 13 walikuwa wengi sana....

Wana Jf mlikuweko?? ......mliniona???
 
Kwani we nani? kati ya maelfu ya watu tukuone wewe tena uliyekuwa unazunguka chini
 
hahhhahaha...mi sikuwepo mitaa hiyo nilikuwa tu sehem nyingine.
 
Umri pia dah unatutoa mchezoni,, miaka mitatu nyuma kushuka chini hiyo mambo ilikuwa hainipiti,, but nowdays kivuleee site kugombana na mafundi

mkuu hapo umenena... umri ukishataradadii huna jinsi ndio yale wathungu walisema time will tell nao wakati wao unakuja
 
Fiesta ni nini?
Samahani wakuu.

Bila samahani:

fi·es·ta/fēˈestə/
Noun:
(in Spanish-speaking regions) A religious festival
An event marked by festivities or celebration

Source:Google
 
Sikumbuki kama nshawahi kwenda huko mahala, na hivi umri ushasogea, ndio kabisaaaaa!
 
Back
Top Bottom