FIESTA UCHAFU MTUPU! Hatutaki tena mje shinyanga!

Kitanto

Member
Apr 6, 2011
26
1
Mimi sioni umuhimu wa tamasha la fiesta kwani ni wizi,ufisad na uchafu tu kwa jamii yetu.shinyanga wamekuja na wasanii wachache na wakawabania wana HIPHOP..Show ilianza saa 9 na saa 12 mwisho hapo ilileta utata mpaka polis wakapewa kibarua cha kukwepa mawe, kwani walimkatisha FID q akiwa jukwaan..
 
Tatizo lenu watu wa shy town ni washamba afu mnashoboka saaaana! Acha clouds wawaingize mjini kwanza mlikubalije kuingizwa ''bugi'' hiyo ya mchana inakuaga ya wakusoma, so waliona nyie wa shy ni maform one buku 3 mkatoa bado mkayeyushwa na mwakani tena mtatoa, mtayeyushwa,mtalalamika ikija tena same story shawazoea nyie si wale wa ''ndoho tabu''
 
mi naona hii post haistaili kuwa humu jamvini ni bora ungepeleka malalamiko yako mkuu clouds media,serengeti,teentz na facebook fan page ya xxl sawa mkubwa..pole sana jirani yangu ndo kuweni wajanja sawa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom