Fiesta special-nani aliyetia fora?

ZD uwe umampimia hilo limbwata sasa, ni kama anajiovadozi vile!!! kesho akienda muofisi, atakumbana na vimemo kibao....
Hahahaa,siyo hivo dear.Hili suala hata wizara ya ustawi wa jamii wanajua.Ni haki ya mtoto kubaki na mlezi,Wakileta matatizo tutawafikisha kwa mama six.si unakumbuka yule askari wa marekani sijui, alikataa kwenda vitani kwa ajili ya mtoto.Na sisi tunampenda mtoto wetu.
 
tatizo wizara zetu zinacontradict one another....ustawi wa jamii wanasema, haya na hizo sheria za kazi nazo!!! Kama Xpin 'amejasiriamali" sawa.

dia mi naogopa asije akaweka kitumbua chenu mchanga kwa kujiovadozi na kusahau majukumu mengine.

multitasks naona zinamwelemea...
 
ZD hahahaha tafadhali niko visiwani bado! kwani kuna mtu hapo mwenye kanzu na msuli?

Hee! kwani Zenj mpaka dar ni muda gani? kwa ndege dk 15 na kwa boti saa 1.
halafu ulimtoroka mtoto wa kizenj ukawahi fiesta,lol mwanaume balaa wewe!
 
Hee! kwani Zenj mpaka dar ni muda gani? kwa ndege dk 15 na kwa boti saa 1.
halafu ulimtoroka mtoto wa kizenj ukawahi fiesta,lol mwanaume balaa wewe!

Nisingaliweza toroka maana nguo zangu zote zimelowekwa maji! Nimekamatika mwaka huu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom