Fiesta on Clouds TV

Mzee Mwanakijiji, mpaka saa hizi uko macho? Nani atafungulia kuku na ng'ombe kesho?

Swali Gumu ulilouliza. We kalale tutakujulisha kesho

Pumzika upate nguvu za kukamua maziwa kesho asubuhi.

bora jamaa aimbe hata wimbo mmoja vinginevyo zitapigwa hapo.. maana sidhani kama watu walikuja kwa ajili ya kuangalia local acts tu..
 
mmi nililala kabla ya huyo luda mwenyewe kupanda.. alipanda sa ngapi jamani? au hakulipwa
 
naona alipanda amepost picha kwenye twitter account yake..akisifia tanzania na show kwa ujumla.
 
Kweli Clouds ni homa ya jiji! Kumbe watu walikuwa wanablog humu sambamba na show ilivyokuwa inaendelea. Ahahahaaaaa hahahaaaaa daaaah! salaaleeeeh kudadadadeki.
 
Back
Top Bottom