Fiesta marufuku mbeya - mr. Ii asema

sugu sasa amaingilia uhuru wa watu binafsi... its a wrong move to personalize life of youths coz of personal grudges

sorry sugu, my buddy... wrong move

dont prevent peoples rights to social gatherings... ingekua kuna kipindupindu sawa
 
Ila Ruge nae ananyonya sana watu, apunguze unyonyaji watu wanapiga show kwa nguvu halafu hela wanayolipwa ya kishenzi ndio maana jamaa nae kaona sio ishu kupiga show mkoani mwake, wasanii wa bongo hawaendelei kwa unyonyaji
 
That if
though shalt confess with thy
mouth the Lord Jesus, and
shalt believe in thine heart that
God hath raised Him from the
......dead, thou shalt be saved.
For whosoever shall call upon
the name of the Lord shall be
saved.
Romans 10:9, 13.
 
For whatever happened btwn him and clouds, lkn hv mbunge ana authoritative power ya kupinga hivyo au anaweza kushauri na kushawishi tu?? Mbona ni kama kauli ya RC au RPC vile??
 
Hivi hili linawezekanaje? Mbunge ana mamlaka Hayo? Au huu ni Mtindo Mpya wa majukwaa ya Siasa kuingilia mamlaka halali za Serikali?
 
Hawa kinaruga wanyonyaji sana hela wanaweka mifukoni wasanii wanatoka kapa,nasema tena FIESTA ni wanyonyaji,na wakija MBEYA hakuna wa kuingia,SUGU ni rais kwa MBEYA
 
Back
Top Bottom