fiesta live arusha now

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
wadau leo ni fiesta arusa ndani ya uwanja wa sheikh amri abed na muda huu ni wasanii wa zamanmi kidoga mandojo na domo kaya ndo wanapaform waimbo wa wanokunoku
 
kalapina yupo?
kalapina si rahisi aje Arusha si unajua alikuwa na beef na nako 2 nako hawezi tia maguu, mbaya zaidi yule member wa n2n waliyempiga abuu nako sasa ndio mkula wa junior nako hao manyoka berlo lao usipime hawaogopi kitu na wamejikita kwenye vurugu zaidi kuliko usanii waulize watoto wa mama na walevi wa shiverz wanawajua vizuri saana
 
kesho atakayekuwa anataka simu used ya kununua anitafute, coz leo simu zitaporwa nyingi saaana si unajua arusha matamasha yakiisha lazima ubabe wa kuporana upo coz wale vijana wa blood ring esso nimewaona na baadhi ya machalii wa kundensa wapo so jamani mtake care ila najua kesho asubuhi watakuja kuziuza hapa shop kwangu stand ya vifodi lazima
 
buzi la wema ndo linapiga muda huu sijui kama wema leo ataonyesha makalio kwa buku tatu
 
kalapina si rahisi aje Arusha si unajua alikuwa na beef na nako 2 nako hawezi tia maguu, mbaya zaidi yule member wa n2n waliyempiga abuu nako sasa ndio mkula wa junior nako hao manyoka berlo lao usipime hawaogopi kitu na wamejikita kwenye vurugu zaidi kuliko usanii waulize watoto wa mama na walevi wa shiverz wanawajua vizuri saana
wewe huwajui kikosi cha mizinga.hao n2n wanajuwa walichofanyiwa pale namanga.mia
 
du hip hop imekolea arusha baba jon ana piga vtu watu wote wamesimama hoooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom