Field attachment

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Rejea kichwa cha habari hapo juu;ninaomba kufanya mafunzo kwa vitendo (field practical/industrial training) katika taasisi/kampuni/wizara yeyote ambayo itakuwa ina idara (departments) zifuatazo:

1.Human resources;
2.Accounts & Finance;
3.Marketing;
4.Procurements&Supplies
.

Hizo ndizo idara/departments ambazo ninastahili kuzifanyia kazi kwa mujibu wa fani/course ninayosoma. Japo ni mwajiriwa katika taasisi mojawapo ya serikali lakini kutokana na mapungufu ya idara kama tatu ambazo zinakosekana kiutendaji;hivyo ninalazimika kutafuta sehemu nyingine ya mafunzo ili kukidhi matakwa ya fani husika na vigezo vilivyowekwa na chuo pia.

Ni matumaini yangu kuwa nitafanikiwa kupitia hapa jamvini;natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wale wote watakaotoa ushirikiano katika hili.Natarajia kuanza mafunzo hayo tarehe 02/08/2010 kwa kipindi cha week nane(8).

Ningependa kusikia kutoka kwenu.

Kwa mawasiliano zaidi:kiuyajibu@jamiiforums.com,niandikie@live.com
 
Si nia yangu kukuvunja moyo ila ulitakiwa ulifanyie kazi mapema chief. Miaka ya karibunivyuo vya elimu ya juu vinamwaga wanafunzi wengi sana kitaani ... kwahiyo hata field attachment, hasa za mjini zinaanza kushindaniwa.
Jaribu kuomba National Bureau of Statistics(NBS)(www.nbs.go.tz) - napaona kama ni pahala ambapo mahitaji yako ya fani yayatimia...SAHAU KULIPWA POSHO!!
 
Ndugu, hebu jaribu kutembelea:Tafuta injini ya kutafuta kwa lugha ya kiswahili huenda ukafanikiwa kupata mahala kama hapo.

Pia jitahidi kutafuata maeneo karibu na unapoishi badala ya kwenda mikoa ya mbali halafu kama hawakulipi posho unaweza ushindwe kufanya kazi yako vizuri na badala yake ukabaki kufikiria utaishi vipi
 
Back
Top Bottom