Fidodido

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Dogo mmoja katoka saloon katengeneza nywele kwa mtindo wa fidodido(dread style).Alipokutana na baba yake ambaye ana uwalaza(upara) wa kati alifokewa sana na kuambiwa akanyoe nywele vizuri kwani fidodido ni mtindo wa kihuni.Dogo alirudi kwa kinyozi,akanyoa nywele za kati tu,za pembeni akaziacha kama zilivyo.Baba yake alipomwona akamwambia;'si bure mwanangu,utakuwa unavuta banghi'.Mtoto naye akajibu;'nimeiga style yako ya nywele,like father like son!'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom