Fideline Iranga amekuwaje?

hivi kinashowashangaza nini kwa huyu mdada,kama kupungua hajapungua ndani ya wiki tangu mwaka jana alikuwa anajipunguza kweli ubinaadam kazi!!!
 
7.jpeg Picha ya Fide leo kwenye party ya Martin Kadinda
 
View attachment 50207 Picha ya Fide leo kwenye party ya Martin Kadinda

Binadamu kweli tuna kazi...nikisoma comments za baadhi yetu kuhusu kuhusisha kupungua kwa Fide na ugonjwa naishia kusikitika tu..ndio maana huu ugonjwa unaendelea kushika kasi miongoni mwetu...mentality za wengi ni kuwa Obesity=excellent health is an absurd observation...na ndio maana jamii yetu sasa inakumbatia unene km nini sijui....haya sasa kazi kwetu....
 
Fide ni mgonjwa kutokana na habari mashoga zake wakaribu wanzao sambaza na ukweli ni kwamba hataki kukubaliana na hiyo hali na kwend akupata matibabu kwa hiyo anaishia kukonda na kuonekana kituko. Huo ugonjwa si yeye wa kwanza kuwa nao n ahata kaa awe wamwisho angejitokeza au kama hataki kujulikana atafute private hospital akapate tiba. Hizo picha zilipigwa na shoga yake alipoenda kumuona na zikaanza kusambazwa kwenye bb na mwisho wake kuangukia mikononi mwa Mange mama chaumbea aka mdaku wa mji asiyepitwa na jambo. :angry:

Huyo aliyeenda kwa Fide na kumpiga picha kisha kuzisambaza ni rafiki au mzandiki...friends dont do that to each other...
 
kama kapungua kwa hiyari yake huo ni uhuru wake,mradi awe ana furaha na kupungua kwake sema tu naona kama weusi wake sijui umekuaje,yaani ngozi yake imepoteza mvuto kwa kweli.
 
mwenzenu anawaza modelling career...am sure akipata right channels anaweza kurudi kny game kwa nguvu huko nje.b'coz she is unique....
 
Its her,

Aliugua almost mwaka mzima 2011, akawa anauguzwa kwa nduguze Mbezii. Tena alikuwa mkorofi na msumbufu sana, waliomuuguza kweli walipata mtihani. Sasa kaweza simama tena, madai DIET. Si kweli!

Ushauri wa bure kwako FIde.
Mungu kakupa Second Chance katika maisha yako, ishi siku zako ukilishika na kutenda neno lake. Nyoosha mapito yako, tubu na achana na wale marafiki wa zamani, waliokupotosha. Siku za duniani ni chache, za Mbinguni/ahera ni milele. Andaa Makazi yako ya milele sasa!!

KWA MUNGU HAKUNA UMAARUFU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom