Fidel80 & geof be serious!

Shemeji ZD najaribu kumkumbusha Mpwa Chris hapo kwenye few isiwe 'more'

Hapo umenena shem,Bwana awe nawe,akulinde na kukuangazia nuru ya uso wake.Na endelea hivohivo kumuhubiri na maombi usiache kumuombea.
Inatakiwa aanze kunywa maziwa ili a-save maji na hizo biere.
 
Usinywe na uendeshe tukutuku be serious pulizi Tutumie breki za mbele na nyuma.

TUMWIGE ZD

6831d1259230284-fidel80-and-geof-be-serious-avatar-ya-gari.gif

ubung trafik ni wadhungu??? au kimara?? Fidel upo?
 
Hapo umenena shem,Bwana awe nawe,akulinde na kukuangazia nuru ya uso wake.Na endelea hivohivo kumuhubiri na maombi usiache kumuombea.
Inatakiwa aanze kunywa maziwa ili a-save maji na hizo biere.

Kesho Ijumaa, ntaenda NJIA YA MSALABA. LOL! Hahahaha!
 
6831d1259230284-fidel80-and-geof-be-serious-avatar-ya-gari.gif

BY THE WAY ZD good car man, limekaa ki hip hop. Xspin anamkwanja eeh! ameli pimp
 
Mea culpa,
Mea Culpa,
Mea Maxima culpa.

Lazima umpigie bibi simu kijijini akutafsirie hichi kilatini hapa hoi kbsa.

Tatizo bibi ukimpigia kwanza anaanza hadithi ya mbuzi zake, then kahawa baada ya hapo atataka mpige japo fungu moja la rozari mafungu ya utukufu. Mpaka nije nimwombe tafsiri credit inakuwa kaputi! Sanctus! Sanctus! Sanctus!
 
Chrispin tafadhali kesho umpitie Fidel80 wakati unaenda njia ya Msalaba

Hahaha! Labda kama atakuwa ana dozi. Saa hizi tayari ana ndovu 6 kichwani achana na zile mbili pale mezani! Humjui vema mpwa yule swahiba.
 
Hahahahaa, well said shem! Haya mapickup ya Tarakea /Rombo Balaa!

Pick up gani ya Tarakea Rombo? Kule si unajua ni DCM ti mamaangu!! Halafu siunajua tena barabara inakamilika mwakani aisee! Mramba oyeee, Fisadi mnamjua Nyie, si tunajua ni Mbunge wetu
 
Pick up gani ya Tarakea Rombo? Kule si unajua ni DCM ti mamaangu!! Halafu siunajua tena barabara inakamilika mwakani aisee! Mramba oyeee, Fisadi mnamjua Nyie, si tunajua ni Mbunge wetu

Nimekutwanga senksi mkuu, kaangalie uthibitishe.
 
You can say it again. Hapo jamaa alitaka kupiga breki za nyuma zikagoma. Hahaha! Kale ka nyumba ka kusimamia kakawa absent

Huku Sikonge kuna jamaa lishikwa na POLISI kuwa anaendesha baiskeli bila breki. Jamaa akamwambia POLISI kuwa ana BREKI. Polisi hakutaka kusikiliza basi jamaa akamwambia achore mstari wapi aanze kufunga breki na washindane na mwenye baiskeli yenye breki. Jamaa alitoka huko MKUKU na kufika pale akarudisha miguu nyuma na kulibana tairi la nyuma kwa miguu. Hiyo retadation iliyotokea hadi Velocity kuwa zero huwezi kuamini.
 
Hahaha! Mzee wa mchundo umenivunja mbavu zangu! Nimemkumbuka Sambayuka ghafla! Kaangalie nimekugongea senksi pale! LOL! Huo mguu alikuwa ametinga buti ya jeshi la mkoloni au?
 
Back
Top Bottom