Fidel80 & geof be serious!

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Usinywe na uendeshe tukutuku be serious pulizi Tutumie breki za mbele na nyuma.

TUMWIGE ZD

6831d1259230284-fidel80-and-geof-be-serious-avatar-ya-gari.gif
 
Attachments

  • 4-21-02_a.jpg
    4-21-02_a.jpg
    12.5 KB · Views: 205
  • 4-21-02_b.jpg
    4-21-02_b.jpg
    12.7 KB · Views: 206
  • 4-21-02_c.jpg
    4-21-02_c.jpg
    11.8 KB · Views: 202
  • avatar ya gari.gif
    avatar ya gari.gif
    25.9 KB · Views: 210
Nasisitiza matumizi ya breki kwenye vyombo vya chuma
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana:D
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana:D

Is it so?

Kumbe mambo yanaenda kinyume kiasi hicho!
I was thinking otherwise!

All in all, guys be careful out there... We still have a dream to see you in reality!
 
hahahaaaaaa, mpwa ilikuaje hapo?.
hivi tukutuku breki ziko mbele au nyuma???
 
Hahahaaa.Nguli bana,kwa raha zetu na maji makuuuubwa ya Kilimanjaro.Mungu atupe nini,faida kibao tunapata
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana:D

You can say it again. Hapo jamaa alitaka kupiga breki za nyuma zikagoma. Hahaha! Kale ka nyumba ka kusimamia kakawa absent
 
You can say it again. Hapo jamaa alitaka kupiga breki za nyuma zikagoma. Hahaha! Kale ka nyumba ka kusimamia kakawa absent

Umesahau na pickup haikuwepo mabenzi sio magari kbsa
 
Hahahahaa, well said shem! Haya mapickup ya Tarakea /Rombo Balaa!

LOL! Tena liwe limesheheni pipa 12 za mbege ya x-mass! Wacha kabisa! Hahaha! You have made my day mchumba. Nimelazimika kukugongea na senksi.
 
Back
Top Bottom